Featured Kitaifa

RAIS .DK.MWINYI AWASILI PEMBA KUENDELEA NA ZIARA YAKE KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba na kusalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi leo 25-7-2022, akiendelea na ziara yake Pemba kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahro Masoud na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe Masoud Ali Mohammed,baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba, kuendelea na ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mikoa Miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba 

VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Pemba wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba wakati wa mapokezi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipowasili Uwanja Ndege Chakechake Pemba,kuendelea na ziara yake Pemba leo 25-7-2022, katika Mikoa Miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba kuendelea na ziara yake 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake  Pemba kuendelea na ziara yake leo 25-7-2022, kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mikoa miwili ya Pemba.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor