Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

deneme bonusu

casibom giriş

Grandpashabet giriş

google

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet Güncel Giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

maxwin

jojobet

casibom

ultrabet giriş

lunabet

jojobet

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

piabellacasino

ultrabet

piabellacasino

piabellacasino

kulisbet

betlike

artemisbet

piabellacasino

jojobet giriş

mavibet

casinoroyal

artemisbet

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin giriş

matbet

dinamobet giriş

jojobet

casibom

ultrabet

goldenbahis

jojobet

jojobet

casibom

casibom

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

jojobet

royalbet

jojobet

kafacasino

betface

pashagaming

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

avrupabet

betsat

betpark giriş

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI YADHAMIRIA KUFUNGUA BARABARA YA LUTEBA HADI IPELELE 

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akimsikiliza Meneja wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Matari Masige, kuhusu maendeleo ya mradi wa kufungua (open up) barabara ya Luteba hadi Ipelele kilomita  9 inayounganisha Wilaya za Makete (Njombe) na Rungwe (Mbeya), wakati alipotembelea mradi huo mwishoni mwa wiki.

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akitoa maelekezo kwa Meneja wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Matari Masige, wakati alipokagua maendeleo ya mradi wa kufungua (open up) barabara ya Luteba hadi Ipelele kilomita  9 inayounganisha Wilaya za Makete (Njombe) na Rungwe (Mbeya), mwishoni mwa wiki.

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akizungumza na mmoja wa Wananchi wa Mwakaleli Mkoani Mbeya wakati alipokagua maendeleo ya mradi wa kufungua (open up) barabara ya Luteba hadi Ipelele kilomita  9 inayounganisha Wilaya za Makete (Njombe) na Rungwe (Mbeya), mwishoni mwa wiki.

Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya barabara ya Luteba hadi Ipelele kilomita  9 inayounganisha Wilaya za Makete (Njombe) na Rungwe (Mbeya). Barabara hiyo imegharimu kiasi cha shilingi milioni zaidi ya 900 na inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Julai Mwaka huu.

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akiangalia mazingira katika hifadhi ya Kitulo Mkoani Mbeya wakati alipotembelea hifadhi hiyo mwishoni mwa wiki.

PICHA WUU

………………………………………

Serikali imeamua kufungua barabara ya Luteba hadi Ipelele yenye urefu wa kilomita 9 kwa kiwango cha changarawe kwa ajili ya kuunganisha Wilaya za Makete na Rungwe na hivyo kurahisisha shughuli  za usafirishaji wa abiria,  mazao ya kilimo na utalii kupitia hifadhi ya Kitulo.

Akizungumza mara baada ya kukagua barabara hiyo ambayo haikuwepo kabla Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete, ameupongeza Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kwa kuhakikisha barabara hiyo inaanza kujengwa na hatimaye kuruhusu hata wananchi kuipita.

“Niwapongeze Mameneja wa Njombe na Mbeya kwa kushirikiana katika kazi hii kwani maeneo haya hayakuwa kabisa na barabara na wananchi walilazimika kutembea kwa mguu kufuata mahitaji muhimu kutoka katika vijiji ambavyo viko Jirani kwa Wilaya hizi mbili”, amesisitiza Naibu Waziri Mwakibete.

Naibu Waziri Mwakibete amewataka wadau mbalimbali kuanza kuwekeza katika Hifadhi ya Kitulo kwani miundombinu imeanza kuboreshwa ambapo itakapokamilika itachangia kwa kiasi kikubwa pato la mkoa na kukuza utalii.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Makete, Juma Beda, ameishukuru Serikali kwa kuendelea kuwekeza katika maboresho ya miundombinu na kusema kukamilika kwa barabara kutaongeza thamani ya mazao yanayozalishwa katika Wilaya hizo mbili na hivyo kuinua pato la wananchi, mkoa na Taifa kwa ujumla.

Kwa upande wake Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mbeya, Mhandisi Matari Masige, amesema mpaka sasa ujenzi wa barabara hiyo umefikia asilimia 80 na kazi zote zinatarajiwa kukamilishwa mwisho wa mwezi Julai.

Mradi wa kufungua Barabara wa Luteba hadi Ipelele kwa kiwango cha changarawe unatekelezwa kwa fedha za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kiasi cha shilingi zaidi ya milioni 900 na inajengwa na Mkandarasi mzawa  Kampuni ya Narmo Company Limited.

 

About the author

Alex Sonna