Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Brain Incorperated Ltd, Jesse Kwayu akitoa mada kuhusu sheria mbalimbali za vyombo vya habari kwenye semina kwa Wahariri wa Habari iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Brain Incorperated Ltd, Jesse Kwayu akitoa mada kuhusu Haki na Uhuru wa Kujieleza kwenye semina kwa Wahariri wa Habari iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA leo Ijumaa Julai 8,2022 jijini Dar es salaam. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Brain Incorperated Ltd, Jesse Kwayu akitoa mada kuhusu sheria mbalimbali za vyombo vya habari kwenye semina kwa Wahariri wa Habari iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA leo Ijumaa Julai 8,2022 jijini Dar es salaam.

Afisa Programu kutoka MISA-TAN, Jacqueline Jones akizungumza kwenye semina kwa Wahariri wa Habari iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA

Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA.
Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA
Mkurugenzi wa TAMWA, Dkt. Rose Reuben akitoa mada kuhusu masuala ya kijinsia kwenye semina kwa Wahariri wa Habari iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA

Mshauir wa Vyombo vya Habari/ Mkufunzi, Rose Haji Mwalimu akizungumza kwenye semina kwa Wahariri wa Habari iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA
Mwenyekiti wa MISA – Tanzania , Salome Kitomari akizungumza wakati wa semina kwa wahariri wa habari kuhusu sheria mbalimbali zinazohusu tasnia ya habari
Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA
Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA.
Esther Zelamula kutoka Channel Ten akichangia hoja kwenye semina hiyo.
Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa Shirika la Habari Ujerumani (DPA) Peter Nyanje akichangia hoja kwenye semina hiyo
Mhariri kutoka Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Nicodemus Ikonko akichangia hoja kwenye semina hiyo
Mwandishi wa habari Mwandamizi kutoka TBC, Chilu Matuzya akichangia hoja wakati wa semina hiyo.
Mhariri wa Habari Gazeti la Jamhuri, Dennis Luambano akichangia hoja kwenye semina hiyo
Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA.
Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA.
Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA.
Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA.
Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA.
Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA.
Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA.
Wahariri wa Habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa MISA Tanzania kwa kushirikiana na TAMWA.
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
……………………………………….