Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

maxwin, maxwin giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betper

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet

jojobet

holiganbet

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

meritking

jojobet

jojobet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betpark

dinamobet giriş

casibom

casibom

betkolik

goldenbahis

casibom

goldenbahis

casibom

kalebet

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas

betpark

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

‘AHADI ZOTE ZA SERIKALI KUTEKELEZWA’-NAIBU WAZIRI KASEKENYA

Written by Alex Sonna

Muonekano wa Daraja la Msingi (m 100), ambalo ni kiungo muhimu kwa wakazi wa Wilaya ya Mkalama na Iramba, mkoani Singida. Ujenzi wa daraja hilo umefikia asilimia 98 na unagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 10.9.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), Eng. Godfrey Kasekenya, akizungumza na mkandarasi mzawa wa Kampuni ya Gemin Engineering, anayejenga Daraja la msingi (m 100) na barabara za maingilio (km 1), mkoani Singida

Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Singida, Eng. Matari Masige, akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), Eng. Godfrey Kasekenya, wakati alipokuwa akikagua ujenzi wa Daraja la Msingi (m 100), mkoani Singida.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), Eng. Godfrey Kasekenya, akikagua kingo za Daraja la Msingi (m 100), ambao ujenzi wake umefikia asilimia 98, mkoani Singida. Daraja hilo ni kiungo muhimu kwa mkoa wa Singida na Simiyu.

PICHA NA WUU

……………………………………………………….

Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imesema ahadi zote zilizotolewa kupitia Ilani, bajeti na maelekezo ya viongozi wa kitaifa za ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja walizozitoa katika ziara mbalimbali nchini zinatekelezwa kwa wakati na ubora ili kusaidia kuchochea maendeleo ya kiuchumi, kijamii na Taifa kwa ujumla.

Hayo yamesemwa mkoani Singida na Naibu Waziri wa Wizara hiyo anayesimamia Sekta ya Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya, alipokuwa akikagua utekelezaji wa ujenzi wa Daraja la Msingi lenye urefu wa mita 100 na barabara za maingilio zenye urefu wa  kilometa moja kwa kiwango cha lami ambao ujenzi wake umefikia asilimia 98.

Naibu Waziri Kasekenya amesema kuwa ujenzi wa daraja hilo ni moja ya ahadi ya Rais wa Awamu ya Tano,  Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwa wakazi wa mikoa ya Singida na Simiyu na sasa lipo katika hatua za mwisho.

“Nimefika hapa kujionea kazi zinazoendelea na nimeridhika na kazi zilizofikiwa katika daraja hili la msingi ambalo ni kiungo muhimu sana kwa wakazi wa wilaya ya Mkalama na Iramba”, amesisitiza Eng. Kasekenya.

Aidha, Eng. Kasekenya amesema kukamilika kwa daraja hilo kutapunguza umbali wa safari kwa kilomita 200 kwa magari yanayopita Singida kuelekea mikoa ya Simiyu na Mara badala ya kupita njia ya Mwanza.

Naibu Waziri Kasekenya ameeleza kuwa madhumuni ya daraja hili ni pamoja na kuwaondelea wananchi kero ya usafiri wa barabara waliokuwa wanaipata kutokana na daraja la vyuma la zamani lililokuwa la muda kuwa jembamba na kuleta adha ya usafiri na usafirishaji.

Ameongeza kuwa usanifu wa barabara hiyo ya mkoa inayoanzia Ulemo – Gumanga – Sibiti inaendelea kufanyiwa usanifu wa kina na Wakala wa Barabara (TANROADS) kwa ajili ya kuanza ujenzi kwa kiwango cha lami.

“Lengo la Serikali ni kuhakikisha inaunganisha barabara za mikoa kwa mikoa kwa kiwango cha lami na kwa hii barabara tumekamilisha madaraja makubwa mawili ya Sibiti na Msingi na sasa usanifu wa barabara unaendelea kwa ajili ya kuweka lami”, amefafanua Naibu Waziri huyo

Kwa upande wake, Meneja wa TANROADS, mkoa wa Singida Eng. Matari Masige, ameeleza kuwa Daraja la Msingi linatekelezwa na mkandarasi mzawa kampuni ya Gemin Engineering kwa gharama ya shilingi Bilioni 10.9 na mradi unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi June, 2022.

Ameongeza kuwa ujenzi wa daraja hilo unafanyika takribani umbali wa meta 10 upande wa juu toka lilipo daraja la sasa likiwa na urefu wa meta 100 zilizogawanywa sawa katika sehemu nne zenye urefu wa meta 25 kila sehemu.

Eng. Masige amesema kuwa Daraja hilo lina jumla ya upana wa meta 10.2 zinazojumuhisha upana wa meta 7.6 ikiwa ni sehemu ya njia za kupitisha magari mawili kwa wakati mmoja na sehemu iliyosanifiwa kupita kwa watembea kwa miguu yenye upana wa meta 1.3 kila upande.

“Daraja hili linajengwa kwa zege na litakuwa la kudumu zaidi ya miaka mia moja (100). Pia magari yenye uzito zaidi ya tani 50 yatapita baada ya kukamilika daraja hili hivyo kurahisisha usafirishaji wa mizigo kwa wingi na hivyo kuinua uchumi kwa wananchi”, amefafanua Eng. Masige.

Naye, Mkandarasi kutoka Kampuni ya Gemini Engineering, Eng. Andrew Nyantori, ameishukuru Serikali kwa kuwaamini wakandarasi wazawa kwa kuwapatia miradi mikubwa na ya kimkakati na kusisitiza kuwa Serikali isiwachoke na iendelee kuwainua kwa ajili ya kupata watalaam wabobezi kwa maslahi ya nchi.

Daraja la Msingi ni kiungo muhimu kati ya Mkoa wa Singida na Mikoa ya Simiyu na Mara kupitia barabara ya Mkoa ya Ulemo – Gumanga – Sibiti ambapo pia inaunganisha makao makuu ya Wilaya ya Mkalama na Wilaya ya Iramba. 

About the author

Alex Sonna