Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MISA TAKATIFU KANISA KATOLIKI DODOMA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, pamoja na familia yake, wameungana na waumini mbalimbali kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, leo Jumapili, Agosti 30, 2026.

About the author

Alex Sonna