Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Thomas Chali akifungua mafunzo kuhusu mfumo wa matumizi ya nishati safi kwa wataalamu taasisi na wizara za kisekta. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma Julai 28, 2026.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Tekonolojia ya Habari na Mawasiliano Ofisi ya Makamu wa Rais akitoa neno la utangulizi wakati wa mafunzo kuhusu mfumo wa matumizi ya nishati safi kwa wataalamu taasisi na wizara za kisekta. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma Julai 28, 2026.

Washiriki wakiwa katika mafunzo kuhusu mfumo wa matumizi ya nishati safi kwa wataalamu taasisi na wizara za kisekta yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma Julai 28, 2026.