Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

TANZANIA KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI KUKUZA UCHUMI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Fedha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), (kushoto), akiagana na Mkurugenzi wa Idara ya Maji, Benki ya Dunia (WB), Afrika, Bw. Saroj Kumar, baada ya kuzungumza kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), kwanye Jukwaa la Maji barani Afrika, lenye kaulimbiu “African Water Forum: From Vision to Action”, linaloendelea kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Radsson, mjini N’Djamena, nchini Tchad, alipoongoza Ujumbe wa Tanzania, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb).

Naibu Waziri wa Fedha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), akifuatilia mijadala mbalimbali wakati wa Jukwaa la Maji barani Afrika, lenye kaulimbiu ‘’African Water Forum; from vision to action, linaloendelea kufanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Radsson, mjini N’Djamena, nchini Tchad, alipoongoza Ujumbe wa Tanzania, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)

Naibu Waziri wa Fedha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), akizungumza wakati wa Jukwaa la Maji barani Afrika, (African Water Forum; from vision to action), linaloendelea kufanyika mjini N’Djamena, nchini Tchad, alipoongoza Ujumbe wa Tanzania, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb).

Naibu Waziri wa Fedha, Tanzania, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), (wa tatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb), (wa tatu kushoto), Kamishna Msaidizi, Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Melckzedek Mbise, (wapili, kulia), pamoja na watumishi wengine kutoka Wizara ya Maji Tanzania, mara baada ya kumalizika kikao cha pili, cha Jukwaa la Maji barani Afrika, lenye kaulimbiu “African Water Forum: From Vision to Action”, linaloendelea kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Radsson, mjini N’Djamena, nchini Tchad.

Ujumbe wa Tanzania ukimsikiliza Naibu Waziri wa Fedha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), (hayupo pichani), alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omari (Mb), wakati wa Jukwaa la Maji barani Afrika, lenye kaulimbiu ‘’African Water Forum; from vision to action, linaloendelea kufanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Radsson, mjini N’Djamena, nchini Tchad.

(Picha na Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini, WF – Tchad)

Na. Asia Singano, WF- TCHAD

Serikali ya Tanzania imedhamiria kuhakikisha kuwa Wananchi wa Tanzania wanapata huduma za msingi za maji safi na salama kwakuwa maji ni kichocheo muhimu cha mabadiliko ya uchumi na ni muhimu kwa ufanisi wa kilimo, viwanda, uzalishaji wa nishati, maendeleo ya miji, afya ya umma, na ustahimilivu wa tabianchi.

Hayo yalielezwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Luswetula (Mb), wakati wa Jukwaa la Maji barani Afrika lenye kaulimbiu, (African Water Forum; from vision to action), linaloendelea kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Radisson mjini N’Djamena, nchini Tchad, alipoongoza Ujumbe wa Tanzania, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb).

Alisema kupitia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ambayo utekelezaji wake ulianza tarehe 1 Julai 2026 pamoja na Mpango wa Maji wa Rais, wa Maji na Usafi wa Mazingira (Presidential WASH Compact) unaotarajia kuzinduliwa hivi karibuni, Serikali inalenga kuwaleta pamoja taasisi mbalimbali za Serikali, wadau wa maendeleo, sekta binafsi na jamii kupanua upatikanaji wa maji na usafi wa mazingira, na kukuza uvumbuzi wa kidijitali katika sekta ya maji.

‘’Tumejizatiti kuhakikisha kila kijiji nchini kinapata huduma za msingi za maji safi kufikia mwaka 2031. Hivyo basi, tunasonga mbele na mpango wa uwekezaji wa kimaendeleo utakaounganisha maji kati ya maeneo yasiyo na maji na yale yasiyotoshelezwa” alisema Mhe. Luswetula (Mb).

Alisema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa ushirikiano kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), katika kutekeleza miradi ya maendeleo na kuboresha huduma kwa wananchi huku akizisihi sekta hizo kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora kwa wananchi.

‘’Naomba nitoe mwaliko kwa sekta binafsi kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kubadilisha sekta yetu ya maji, fursa kubwa zipo katika uwekezaji wa kimkakati kama vile Gridi ya Taifa ya Maji, huduma za WASH zenye kustahimili mabadiliko ya tabianchi, mifumo ya umwagiliaji, matumizi ya kidijitali kwenye sekta ya maji, na utunzaji wa vyanzo vya maji’’ alisema Mhe. Luswetula (Mb).

Alieleza kuwa Serikali ya Tanzania chini ya Uongozi wa Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendelea kuimarisha mazingira yanayowezesha kuvutia uwekezaji wa muda mrefu, kuweka taratibu za uwazi, sera zinazoweza kutabirika, utawala bora, ili kuyafikia malengo yaliyowekwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Idara ya Maji, Benki ya Dunia (WB), Afrika, Bw. Saroj Kumar, aliipongeza Tanzania kwa kuwa na mikakati bora ya kuboresha maisha ya wananchi, kuandaa na kuanza kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ambayo imeipa sekta binafsi nafasi ya kuchangia asilimia 70 katika maendeleo ya nchi.

Aliongeza kuwa Benki ya Dunia (WB), inatambua juhudi za Tanzania katika kuendelea kuboresha maisha ya wananchi ambapo juhudi hizo zimejidhihirisha katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 huku Benki hiyo ikiahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa Dira hiyo.

About the author

Alex Sonna