Katika siku ya 11 (Julai 8, 2026) ya Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama SabaSaba, viongozi na wananchi mbalimbali wameendelea kutembelea na kupata elimu ya vipimo katika Banda la Wakala wa Vipimo. Mbali na elimu, zawadi mbalimbali zenye nembo na jumbe za WMA zinatolewa kwa wadau. Hujachelewa bado, karibu katika Banda letu tukuhudumie.