Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

deneme bonusu

casibom giriş

Grandpashabet giriş

google

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet Güncel Giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

maxwin

jojobet

casibom

ultrabet giriş

lunabet

jojobet

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

piabellacasino

ultrabet

piabellacasino

piabellacasino

kulisbet

betlike

artemisbet

piabellacasino

jojobet giriş

mavibet

casinoroyal

artemisbet

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin giriş

matbet

dinamobet giriş

jojobet

casibom

ultrabet

goldenbahis

jojobet

jojobet

casibom

casibom

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

jojobet

royalbet

jojobet

kafacasino

betface

pashagaming

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

avrupabet

betsat

betpark giriş

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

Featured Kitaifa

MIRADI YA REA NI YA WANANCHI – WAKILI KALOLO

Written by Alex Sonna

Nguzo zikishushwa katika Kitongoji cha Olomoti, Kijiji cha Msomera wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga kwa ajili ya matumizi ya kuunganisha umeme katika miradi ya umeme vijijini inayoendelea. Taswira hii ilichukuliwa Juni 15, 2022 wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini Wakili Julius Kalolo na Mkurugenzi Mkuu wa REA Mhandisi Hassan Saidy.

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Wakili Julius Kalolo, Mkurugenzi Mkuu wa REA Mhandisi Hassan Saidy na Ujumbe waliofuatana nao, wakikagua miundombinu ya umeme katika kijiji cha Horohoro wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga walipokuwa katika ziara ya kazi,

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Wakili Julius Kalolo (wa kwanza – kushoto) akifafanua jambo kwa Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga ambaye ni Katibu Tawala, Joseph Sura (wa kwanza – kulia) wakati wa ziara ya kazi ya viongozi wa REA wilayani humo, Juni 14, 2022. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy.

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Wakili Julius Kalolo, Mkurugenzi Mkuu wa REA Mhandisi Hassan Saidy na Ujumbe waliofuatana nao wakikagua miundombinu ya umeme katika kijiji cha Horohoro wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga, walipokuwa katika ziara ya kazi

Afisa Mtendaji wa Kata ya Mwakijembe, wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga (aliyesimama-kushoto) akiwa na Ujumbe wa Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Wakili Julius Kalolo (wa pili-kushoto), walipofika ofisini kwake wakiwa katika ziara ya kazi, Juni 14, 2022. Wa tatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy.

Kutoka kushoto ni Diwani wa Kata ya Mponde wilayani Lushoto Mheshimiwa Richard Mbuguni na Msaidizi wa Mbunge wa Bumbuli ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kwemkola, Mheshimiwa Hozza Mandia, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Wakili Julius Kalolo (wa kwanza kulia), alipokuwa akifafanua jambo wakati wa ziara yake wilayani humo Juni 15, 2022 kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy.

Mkurugenzi Mkuu wa REA Mhandisi Hassan Saidy (wa pili-kushoto), akifafanua jambo kwa Msaidizi wa Mbunge wa Bumbuli ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kwemkola, Mheshimiwa Hozza Mandia (kulia), wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Wakili Julius Kalolo (wa tatu-kushoto) wilayani Lushoto, Juni 15, 2022 kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini.

…………………………………………….

Na Veronica Simba  – REA

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Wakili Julius Kalolo amesema wananchi wana haki ya kujulishwa kuhusu miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika maeneo yao kwani kimsingi miradi hiyo ni ya kwao.

Aliyasema hayo kwa nyakati tofauti hivi karibuni akiwa katika ziara ya kazi mkoani Tanga, Juni 13 hadi 16, 2022 ambapo alifuatana na Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy.

Akifafanua, Mwenyekiti wa Bodi alisema Serikali imewekeza fedha nyingi katika kutekeleza miradi hiyo ambayo imelenga kuwanufaisha wananchi hususan waishio vijijini.

“Kwa mantiki hiyo, wananchi ndiyo wamiliki wa miradi husika; miradi ni ya kwao maana inatekelezwa na Serikali kwa ajili yao hivyo wanapaswa kuijua vizuri ili watoe ushirikiano katika utekelezwaji wake,” alisisitiza.

Aidha, Wakili Kalolo alisema kuwa endapo Wakandarasi wanaotekeleza miradi hiyo watawashirikisha wananchi, itasaidia pia kupata suluhisho la changamoto ya uharibifu na wizi wa miundombinu ya umeme ambayo imekuwa ikijitokeza katika baadhi ya maeneo.

Alisema kuwa, wananchi wakishirikishwa watakuwa sehemu ya Mradi hivyo watatoa ushirikiano katika usimamizi wake ikiwemo utunzaji wa miundombinu.

Aliongeza kuwa ushirikishwaji uwalenge pia viongozi wa wananchi ambao ni Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Wabunge, Madiwani na viongozi wote ngazi ya vijiji na vitongoji.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa REA Mhandisi Saidy akizungumza katika ziara hiyo aliwataka wananchi kuondoa hofu kuhusu suala la wigo wa miradi ya umeme vijijini, ambapo kumekuwa na malalamiko ya umeme kufika eneo dogo katika kijiji na maeneo mengine kutofikiwa.

Alifafanua kuwa, malengo ya Serikali katika hatua ya awali ilikuwa ni kuhakikisha walau kila kijiji kinafikiwa na miundombinu ya umeme mkubwa ili upatikanaji wa huduma za msingi hususan za kijamii ziwepo katika kila kijiji.

Mhandisi Saidy aliongeza kuwa, kwa sasa Serikali imejipanga kuongeza wigo ambapo katika kila kijiji zitaongezwa kilomita mbili kutoka kilomita moja ya awali, hivyo kufikia kilomita tatu.

Aidha, alisema kuwa Wakala unaendelea kutekeleza miradi mingine mbalimbali inayolenga kuendelea kuwafikishia umeme wananchi wote ikiwemo miradi ya ujazilizi.

Pia, alibainisha kuwa mpango wa Serikali kwa sasa kupitia REA ni kuanza kupeleka umeme katika ngazi ya vitongoji ambapo ukikamilika, wananchi wote watakuwa wamefikiwa na nishati ya umeme.

Katika ziara hiyo, viongozi mbalimbali walipongeza kazi kubwa inayofanywa na Serikali kupitia REA na wakaahidi kuendelea kutoa ushirikiano katika kuwezesha utekelezaji wa miradi inayoendelea.

Viongozi hao ni pamoja na Mkuu wa Mkoa, Mheshimiwa Adam Malima, Mbunge wa Handeni Vijijini Mheshimiwa John Sallu, Msaidizi wa Mbunge wa Bumbuli ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kwemkola, Mheshimiwa Hozza Mandia, na Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Handeni ambaye ni Katibu Tawala, Mashaka Mgeta.

Wengine ni Diwani wa Kata ya Mponde Mheshimiwa Richard Mbuguni, Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga ambaye ni Katibu Tawala, Joseph Sura, Afisa Mtendaji Kata ya Mwakijembe, Prosper Marumbo, Mwenyekiti wa kijiji cha Msomera wilayani Handeni Martin Parakett na viongozi wengine mbalimbali ngazi ya vijiji na vitongoji.

Ziara hiyo ya siku tatu ililenga kukagua utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini ikihusisha kukagua kazi zinazoendelea pamoja na kuzungumza na wakandarasi, viongozi na wananchi.

About the author

Alex Sonna