Featured Kitaifa

MTUME BONIFACE MWAMPOSA AFIKA NYUMBANI KWA MBUNGE WA KISESA, LUHAGA MPINA KUHANI MSIBA MAMA YAKE NA KUMBUKUMBU YA MZEE MPINA

Written by mzalendoeditor

Mtume Boniface Mwamposa Bulldoza (kulia)
akiendesha maombi maalum ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kufariki kwa Baba
mzazi wa Mbunge wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina (kushoto), Marehemu Mpina Gabisi
Samweli Luchemba na kuhani msiba wa Mama yake, Marehemu Kephrine Kabula Masaga katika
Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu leo Juni 15, 2022
Mtume Boniface
Mwamposa Bulldoza  akiendesha maombi
maalum  kwa wazazi wa Mbunge wa Kisesa,
Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Marehemu Mpina Gabisi Samweli Luchemba na Marehemu
Kephrine Kabula Masaga alipofika katika Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu
Mkoa wa Simiyu Juni 15, 2022. Marehemu Mzee Mpina alifariki Juni 14, 2021 na
Mama alifariki Juni 1, 2022.
Mtume Boniface
Mwamposa Bulldoza akiendesha maombi ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kufariki
kwa Baba mzazi wa Mbunge wa Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Marehemu Mzee
Mpina Gabisi Samweli Luchemba na kuhani msiba wa Mama yake Mpina, Marehemu
Kephrine Kabula Masaga aliyezikwa Juni 8, 2022. Hafla hii imefanyika Kijiji cha
Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu Juni 15, 2022.

Mtume Boniface
Mwamposa Bulldoza akimbariki Diwani wa Kata ya Lubiga, Mhe. Juma Isack Mpina
ambaye ni Kaka wa Mbunge wa Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina wakati wa ibada
maalum ya kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha Mzee Mpina Gabisi Samweli
Luchemba na kuhani msiba wa Mama yake Mpina, Marehemu Kephrine Kabula Masaga Kijiji
cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, Juni 15,2022
Mtume Boniface Mwamposa Bulldoza akiwapaka
mafuta ya upako wananchi wa Jimbo la Kisesa walifika nyumbani kwa Mbunge wa
Kisesa Mhe. Luhaga Joelson Mpina wakati wa ibada maalum ya kumbukumbu ya mwaka
mmoja wa kifo cha Mzee Mpina Gabisi Samweli Luchemba na kuhani msiba wa Mama
yake Mpina, Marehemu Kephrine Kabula Masaga katika Kijiji cha Isangijo Wilaya
ya Meatu Mkoa wa Simiyu Juni 15,2022
Mtume Boniface
Mwamposa akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Marehemu Kabula Kephrine
Masaga baada ya ibada ya kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha Mzee Mpina
Gabisi Samweli Luchemba na kuhani msiba wa Mama mzazi wa Mpina aliyefariki  Juni 1, 2022. Hafla hii imefanyika katika
Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu Juni 15, 2022.
Mtume Boniface
Mwamposa akiiombea Baraka ardhi ya nyumbani kwa Mzee Mpina baada ya ibada ya
kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha Mzee Mpina Gabisi Samweli Luchemba na
kuhani msiba wa mama yake Mzazi Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, Kephrine Kabula
Masaga leo Juni 15, 2022 katika Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa
Simiyu.
Mtume Boniface
Mwamposa Bulldoza akimpaka mafuta ya Baraka Mbunge wa Kisesa, Mhe. Luhaga
Joelson Mpina wakati wa ibada maalum ya kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha
Mzee Mpina Gabisi Samweli Luchemba na kuhani msiba wa Mama yake Mpina, Marehemu
Kephrine Kabula Masaga katika Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa
Simiyu Juni 15,2022

Mtume Boniface
Mwamposa akiweka shada la maua katika Kaburi la Mama yake Mzazi, Mbunge wa
Kisesa, Luhaga Mpina, Marehemu Kephrine Kabula Masaga aliyefariki Juni 1, 2022.
Hafla hii imefanyika Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu leo Juni
15, 2022.

Mtume Boniface
Mwamposa Bulldoza akiendesha maombi kwenye Kaburi la Mama yake mzazi Mbunge wa
Kisesa, Luhaga Mpina, Marehemu Kephrine Kabula Masaga aliyezikwa Juni 8, 2022
pamoja na kumuombea Baba Mzazi wa Mpina Marehemu Mzee Mpina Gabisi Samweli
Luchemba Hafla hii imefanyika Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa
Simiyu Juni 15, 2022.

About the author

mzalendoeditor