Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

ramadabet

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

VIPIMO SAHIHI VYATAJWA KUWA NGUZO YA UCHUMI WA VIWANDA

Written by Alex Sonna

 

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dennis Londo (Mb), amesema Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuimarisha mifumo ya vipimo nchini ili kuongeza ushindani wa bidhaa za Tanzania katika soko la kimataifa, kukuza viwanda na kujenga uchumi wa kisasa unaotegemea sayansi na teknolojia.

Mhe. Londo ametoa kauli hiyo leo Mei 20,2026 jijini Dodoma wakati akifunga rasmi maadhimisho ya Siku ya Vipimo Duniani ambapo amesisitiza kuwa maendeleo ya viwanda, biashara na huduma bora hayawezi kufikiwa bila uwepo wa vipimo sahihi na vinavyoaminika.

Amesema serikali itaendelea kuboresha mazingira ya kisera na kisheria ili kuwezesha biashara, kuvutia uwekezaji na kuongeza ufanisi wa sekta binafsi kwa kuzingatia matumizi ya vipimo vinavyokubalika kitaifa na kimataifa.

“Hakuna biashara yenye uaminifu bila vipimo sahihi, hakuna viwanda vinavyoweza kushindana kimataifa bila mifumo sahihi ya vipimo, na hakuna sera bora bila taarifa sahihi zinazotokana na sayansi ya vipimo,” amesema Mhe. Londo.

Hata hivyo amezitaka taasisi za serikali, sekta binafsi na wadau wa maendeleo kuendelea kushirikiana katika kuimarisha matumizi ya vipimo sahihi ili kuongeza uwazi, ufanisi na uaminifu katika maamuzi ya kitaifa.

Amesema maadhimisho ya mwaka huu yamebeba ujumbe muhimu unaolenga kuonesha namna sayansi ya vipimo inavyoweza kusaidia kujenga imani katika uandaaji wa sera na utekelezaji wa mipango ya maendeleo.

Akizungumzia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,Mhe. Londo amesema Tanzania haiwezi kufikia uchumi wa viwanda na teknolojia bila kuwa na mifumo madhubuti ya vipimo, maabara za kisasa pamoja na wataalamu wenye ujuzi wa kimataifa.

Amesema vipimo vina mchango mkubwa katika kuongeza tija viwandani, kuchochea ubunifu, kulinda afya za wananchi na kuimarisha biashara ya kimataifa.

“Tunapozungumzia Tanzania ya viwanda, bidhaa zenye ushindani na huduma bora, tunapaswa kutambua kuwa msingi wake ni vipimo sahihi na vya kuaminika,” amesisitiza.

 

Aidha amesema serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuwekeza katika taasisi za udhibiti na mifumo ya kisasa ya vipimo ili kuhakikisha wananchi wanapata bidhaa na huduma zenye ubora unaostahili..

Hata hivyo ameutaka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) kuendelea kusimamia haki katika matumizi ya vipimo ili wananchi wapate bidhaa kulingana na thamani halisi ya fedha wanazolipia na kudhibiti udanganyifu katika biashara.

 

Pia ameliagiza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuendelea kuimarisha maabara za kitaifa, mifumo ya ithibati na ulinganifu wa vipimo kwa kuzingatia viwango vya kimataifa.

Kwa upande wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), amesema kinapaswa kuongeza programu za mafunzo zinazohusiana na vipimo, tathmini ya ubora na uandaaji wa sera ili kuzalisha wataalamu watakaosaidia kuunganisha sayansi na maendeleo ya uchumi.

Mhe. Londo amesema sera bora haziwezi kujengwa kwa mazoea au makisio, bali zinahitaji takwimu sahihi zinazotokana na vipimo vya kuaminika.

Ameongeza kuwa matumizi ya vipimo sahihi husaidia kutambua chanzo halisi cha changamoto za kijamii na kiuchumi badala ya kushughulikia matokeo yake pekee.

Kwa upande wake, Menejimenti ya WMA, TBS na CBE, wameeleza kuwa maadhimisho ya Siku ya Vipimo Duniani yanaendelea kuwa jukwaa muhimu la kuhamasisha matumizi ya vipimo sahihi katika biashara, afya, teknolojia na maendeleo ya jamii.

Siku ya Vipimo Duniani huadhimishwa kila mwaka Mei 20 ikiwa ni kumbukumbu ya kutiwa saini kwa Mkataba wa Kimataifa wa Mita wa mwaka 1875, ulioanzisha ushirikiano wa kimataifa katika matumizi ya vipimo sahihi duniani.

About the author

Alex Sonna