Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA BIHARAMULO STAND MKOANI KAGERA

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi pamoja na Wananchi wa Biharamulo Stand alipowasili Mkoani  Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza tarehe 08 Juni, 2022.

About the author

mzalendoeditor