Featured

WAZIRI MKUU ATETA NA MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO JUMA DUNI HAJI

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji  kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa  Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 8, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa  Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 8, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti  wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji  baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 8, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor