Featured Kitaifa

MWENYEKITI CCM NA RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU, DAR ES SALAAM

Written by Alex Sonna

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha siku mbili cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kinachokutana  Jijini Dar Es Salaam leo Jumanne tarehe 28 Aprili, 2026.

About the author

Alex Sonna