marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

anadoluslot

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

savoycasino

https://letsrelaxspa.today/

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

Çanakkale Escort

Denizli Escort

Samsun Escort

matbet

grandpashabet

meritking giriş

kavbet

holiganbet

bets10 giriş

jojobet

Featured Kitaifa

WAZIRI NDEJEMBI: UPATIKANAJI WA NISHATI SAFI TANZANIA UMEONGEZEKA MARA TATU NDANI YA MIAKA MINNE

Written by Alex Sonna

PARIS

UPATIKANAJI wa nishati safi ya kupikia nchini Tanzania umeongezeka kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi asilimia 23.2 mwaka 2025, sawa na ongezeko la zaidi ya mara tatu ndani ya kipindi cha miaka minne.

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema mafanikio hayo yanaakisi dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kuhakikisha wananchi wanapata nishati safi, salama na nafuu kwa ajili ya kupikia, huku yakichangia kulinda afya za wananchi, mazingira na kukuza uchumi wa taifa.

Akizungumza Februari 18, 2026 katika Mdahalo wa Ngazi ya Juu wa Mawaziri ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa la Nishati (IEA) jijini Paris, Waziri Ndejembi amesema Tanzania imeendelea kuimarisha juhudi za kupanua matumizi ya nishati safi ya kupikia kama sehemu ya ajenda ya maendeleo endelevu.

Ameeleza kuwa mafanikio hayo yamechangiwa na utekelezaji wa maazimio ya Mkutano wa Kwanza wa Afrika wa Nishati Safi ya Kupikia, ambapo Tanzania ilishiriki kuhamasisha ahadi ya dola za Marekani bilioni 2.2 kwa ajili ya kuendeleza sekta hiyo barani Afrika.

Waziri Ndejembi amesisitiza kuwa mafanikio halisi yatapimwa kwa utekelezaji wa vitendo na upanuzi wa huduma hususan maeneo ya vijijini ambako matumizi ya kuni na mkaa bado ni makubwa.

Aidha, amebainisha kuwa Mei 2024, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan, alizindua rasmi Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia 2024–2034 unaolenga kuratibu sera, kanuni, mifumo ya kifedha pamoja na ushiriki wa sekta binafsi ili kuongeza matumizi ya nishati safi nchini.

“Kwa mwaka huu wa fedha, Serikali inatarajia kusambaza majiko banifu 200,000 na mitungi 450,000 ya gesi ya LPG kwa ruzuku, pamoja na kuanza majaribio ya mfumo wa kulipia vifaa vya kupikia kwa umeme kupitia bili za Shirika la Umeme Tanzania, ili kupunguza gharama za awali kwa wananchi,” amesema.

Pia ameeleza kuwa Serikali imepiga marufuku matumizi ya kuni na mkaa katika taasisi zinazohudumia zaidi ya watu 100, zikiwemo shule na vituo vya afya, hatua inayolenga kupunguza uharibifu wa mazingira na madhara ya kiafya yatokanayo na moshi wa ndani.

“Nishati safi ya kupikia inapaswa kuangaliwa pia kama sekta ya kiuchumi inayoweza kuzalisha ajira katika uzalishaji, usambazaji na matengenezo ya vifaa,” amesema Ndejembi huku akitoa wito kwa wawekezaji kutumia fursa zilizopo.

Amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo wa ndani na kimataifa ili kuhakikisha malengo ya upatikanaji wa nishati safi ya kupikia yanafikiwa kwa kiwango kikubwa na endelevu, sambamba na jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kuboresha ustawi wa wananchi.

Kwa mujibu wa IEA, Afrika inaweza kufikia upatikanaji wa nishati safi ya kupikia kwa wote ifikapo mwaka 2040, lakini mafanikio hayo yanahitaji uwekezaji wa takribani dola bilioni mbili kila mwaka.      

About the author

Alex Sonna