Featured Kitaifa

MAJALIWA ATETA NA WAMACHINGA BAADA YA KUTEMBELEA SOKO LAO LA MBAUDA JIJINI ARUSHA

Written by mzalendoeditor

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea soko la Wamachinga la Mbauda jijini Arusha, Mei 24, 2022.   Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella na wa tatu kushoto Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maeneo wanayofanyia baiashara  Wamachinga  katika soko la  Mbauda jijini Arusha,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wamachinga baada ya kutembelea soko la Mbauda jijini Arusha,  Mei 24, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor