Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (MB), na Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, wakitazama miche ya mboga wakati alipotembelea kujionea shughuli mbalimbali za kilimo, mifugo na uvuvi, zinazotekelezwa katika Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Kilimo 2026, yanayofanyika katika Viwanja vya Dk. John Samwel Malecelaa, Nzuguni, jijini Dodoma. Maonesho hayo yana kauli mbiu ‘‘Tambua soko, Ongeza Tija kutekeleza Dira 2050’’.
Na. Farida Ramadhani na Saidina Msangi, WF, Dodoma.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (MB), akiwapa Samaki chakula wakati alipotembelea bwawa la ufugaji kujionea shughuli mbalimbali za kilimo, mifugo na uvuvi, zinazotekelezwa katika Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Kilimo 2026, yanayofanyika katika Viwanja vya Dk. John Samwel Malecelaa, Nzuguni, jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde. Maonesho hayo yana kauli mbiu ya ‘‘Tambua soko, Ongeza Tija kutekeleza Dira 2050’’.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (MB), na Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, wakitazama miche ya mboga wakati alipotembelea kujionea shughuli mbalimbali za kilimo, mifugo na uvuvi, zinazotekelezwa katika Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Kilimo 2026, yanayofanyika katika Viwanja vya Dk. John Samwel Malecelaa, Nzuguni, jijini Dodoma. Maonesho hayo yana kauli mbiu ‘‘Tambua soko, Ongeza Tija kutekeleza Dira 2050’’.

Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (MB), akimueleza Meneja wa Mikopo Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Bw. Amani Shabani (kushoto), kuhusu umuhimu wa Benki hiyo kuendelea kuinua wakulima nchini, wakati alipotembelea katika Viwanja vya Dk. John Samwel Malecelaa kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali za kilimo, mifugo na uvuvi, zinazotekelezwa katika Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Kilimo 2026, yanayofanyika katika viwanja hivyo, Nzuguni jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, ambaye alimuongoza Mhe. Balozi Omar kutembelea Maonesho hayo yenye kauli mbiu ya ‘‘Tambua soko, Ongeza Tija kutekeleza Dira 2050’’.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (MB), na Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, wakimsikiliza Meneja wa Mikopo Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Amani Shabani, akifafanua kuhusu jitihada za benki hiyo katika kuinua wakulima nchini kupitia utoaji wa mikopo, wakati alipotembelea katika Viwanja vya Dk. John Samwel Malecelaa kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali za kilimo, mifugo na uvuvi, zinazotekelezwa katika Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Kilimo 2026, yanayofanyika katika viwanja hivyo Nzuguni jijini Dodoma. Maonesho hayo yana kauli mbiu ya ‘‘Tambua soko, Ongeza Tija kutekeleza Dira 2050’’.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)