Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

avrupabet giriş

radissonbet

avrupabet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

imajbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

casibom

Featured Kitaifa

BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA LAPIGA MARUFUKU DAWA HATARISHI, LATOA ONYO KALI KWA WATOA HUDUMA WASIOSAJILIWA

Written by Alex Sonna

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Prof. Nicolao Joseph Otieno,akionyesha dawa zilizopigwa marufuku kwa waandishi wa habari kuhusu tamko kwa umma kuhusu huduma za Tiba Asili na Tiba Mbadala leo Juni 5,2026 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Prof. Nicolao Joseph Otieno,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamko kwa umma kuhusu huduma za Tiba Asili na Tiba Mbadala leo Juni 5,2026 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini limepiga marufuku matumizi, uingizwaji, usambazaji na uuzaji wa baadhi ya dawa za tiba asili baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa kemikali za dawa za kisasa pamoja na viambata hatarishi vinavyoweza kuhatarisha afya za watumiaji.

Akizungumza leo Juni 5,2026  jijini Dodoma na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Baraza hilo,Prof. Nicolao Joseph Otieno, amesema hatua hiyo imechukuliwa kufuatia matokeo ya ufuatiliaji wa dawa za tiba asili uliotekelezwa katika mikoa ya Dodoma, Morogoro, Pwani na Dar es Salaam katika mwaka wa fedha 2025/2026.

Prof. Otieno amesema uchunguzi huo umebaini kuwa dawa ya Powaful Banana Medicine, ambayo baadaye ilibadilishwa jina na kuitwa Banana Medicine, ilikuwa imechanganywa na kemikali za dawa za kisasa za kuongeza nguvu za kiume aina ya Sildenafil na Tadalafil pamoja na dawa za maumivu za Tramadol na Paracetamol bila kuainishwa kwenye lebo wala wakati wa usajili.

Kutokana na ukiukwaji huo, Baraza limefuta rasmi usajili wa dawa hiyo kuanzia Juni 1, 2026 na kumuagiza mtengenezaji wake, Powaful Products Company Ltd, kuiondoa sokoni mara moja.

Aidha, dawa nyingine inayojulikana kwa jina la Vitamax maarufu kama “viasali”, ambayo haikuwa imesajiliwa nchini, imepigwa marufuku kuingizwa, kusambazwa, kuuzwa na kutumika baada ya uchunguzi wa maabara kubaini kuwa ilikuwa na kemikali hizo hizo za dawa za kisasa licha ya kudaiwa kutengenezwa kwa viambata vya mimea tiba.

“Matumizi ya dawa hizi yanaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya ikiwemo magonjwa ya moyo, figo na ini, shinikizo la damu, utegemezi wa dawa na hata vifo kwa baadhi ya watumiaji,” amesema  Prof. Otieno.

Katika hatua nyingine, Baraza limeagiza kuondolewa sokoni kwa toleo namba MN1060 la dawa ya Joy yenye usajili TZ25TM0010 baada ya kubainika kuwa na kiwango kisichokubalika cha sumu kuvu, ambayo inaweza kusababisha saratani ya ini, uharibifu wa figo na kupunguza kinga ya mwili.

Mbali na hatua hizo, Baraza limetoa onyo kali kwa waganga wa tiba asili wanaotoa huduma bila usajili wa kisheria, likikumbusha kuwa kufanya hivyo ni kosa linaloweza kusababisha faini ya shilingi laki tano, kifungo cha miaka miwili au adhabu zote mbili kwa pamoja.

Pia limezitahadharisha taasisi za habari, watangazaji na watumiaji wa mitandao ya kijamii dhidi ya kutangaza dawa au huduma za tiba asili bila kibali rasmi kutoka Baraza. Kwa mujibu wa kanuni zilizopo, wanaokiuka masharti hayo wanaweza kutozwa faini isiyopungua shilingi milioni moja.

Prof. Otieno amesema Baraza limebaini ongezeko la wafanyabiashara wanaotumia virutubisho vya chakula kama dawa za kutibu magonjwa mbalimbali kinyume cha sheria pamoja na kubadili maduka ya virutubisho kuwa kliniki zisizosajiliwa zinazotoa huduma za kitabibu kwa kutumia vifaa visivyotambuliwa kisheria.

Kutokana na hali hiyo, Baraza limetoa maelekezo kwa wazalishaji, wasambazaji na wauzaji wote wa dawa za tiba asili kusajili au kuorodhesha bidhaa zao mara moja. Amesema baada ya miezi sita kuanzia tarehe ya tamko hilo, ukaguzi maalumu utaanza na dawa zote ambazo hazitasajiliwa au kuorodheshwa zitakamatwa na kutaifishwa kwa mujibu wa sheria.

Hata hivyo amewataka  wananchi kuhakikisha wanapata huduma za tiba asili kutoka kwa waganga na vituo vilivyosajiliwa pekee, pamoja na kutumia dawa ambazo zimethibitishwa ubora na usalama wake na Baraza.

Prof. Otieno amewakumbusha watoa huduma za tiba asili kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza, hususan ugonjwa wa Ebola ambao umeripotiwa katika nchi jirani za Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa kuzingatia kanuni za usafi na kutumia vifaa kinga wanapohudumia wagonjwa.

Baraza limesisitiza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na taasisi nyingine za Serikali kuhakikisha huduma za tiba asili na tiba mbadala nchini zinakuwa salama, bora na zinazolinda afya za wananchi.

About the author

Alex Sonna