Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

BALOZI OMAR ATETA NA MWAKILISHI MKAZI MPYA WA IMF

Written by Alex Sonna


Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(Kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi Mpya wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bi. Jana Bricco, baada ya kufika katika Ofisi Ndogo ya Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaaam, kujitambulisha akiambatana na Mwakilishi Mkazi aliyemaliza muda wake Bw. Sebastian Acevedo (hayupo pichani).

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(Katikati), Mwakilishi Mkazi Mpya wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bi. Jana Bricco, na Mwakilishi Mkazi wa Shirika hilo aliyemaliza muda wake Bw. Sebastian Acevedo, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kikao chao kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaaam, ambapo Mwakilishi huyo mpya alifika kwa ajili ya kujitambulisha.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(Katikati), Mwakilishi Mkazi Mpya wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bi. Jana Bricco (wa pili Kushoto), Mwakilishi Mkazi wa Shirika hilo aliyemaliza muda wake Bw. Sebastian Acevedo (wa pili kulia), Kaimu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ambaye pia ni Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje, Bw. Rished Bade (Kushoto) na Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu kutoka Idara ya Fedha za Nje, Bi. Mukajungu Kamuzora (Kulia), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kikao chao kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaaam, ambapo Mwakilishi huyo mpya alifika kwa ajili ya kujitambulisha.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)

Na. Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi Mpya wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bi. Jana Bricco, katika Ofisi Ndogo ya Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaaam, aliyefika kujitambulisha akiambatana na Mwakilishi Mkazi aliyemaliza muda wake Bw. Sebastian Acevedo. Bi. Jana Bricco, anayetarajiwa kuanza kazi mwezi Agosti 2026 aliteuliwa mwezi Machi 2026 kuliwakilisha Shirika hilo nchini Tanzania.

Katika mazungumzo yao walijadili namna ya kuimarisha zaidi ushirikiano imara uliopo kati ya Tanzania na Taasisi hiyo ya Fedha duniani, katika ufadhili na kutekeleza miradi ya kimkakati pamoja na programu mbalimbali, kusimamia na kuimarisha uchumi.

Aidha walitumia fursa hiyo kumshukuru na kumpongeza Mwakilishi Mkazi aliyemaliza muda wake, Bw. Sebastian Acevedo kwa kazi yake nzuri ya kuiwakilisha Taasisi hiyo na kuendelea kujenga uhusiano thabiti kati ya IMF na Tanzania.

Hadi kufikia tarehe 31 Machi 2026, uwekezaji wa mikopo na misaada wa Shirika la Fedha la Kimataifa IMF kwa Tanzania umefikia SDR bilioni 3.27 sawa na dola za Marekani takribani bilioni 4.64, zilizoelekezwa kwenye utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia Bajeti Kuu ya Serikali.

Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Kaimu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ambaye pia ni Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje, Bw. Rished Bade na Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu kutoka Idara ya Fedha za Nje, Bi. Mukajungu Kamuzora.


About the author

Alex Sonna