Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

spinco

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WIZARA YA FEDHA YAOMBA SH. TRILIONI 21.3 KWA BAJETI YA 2026/27

Written by Alex Sonna

Na Benny Mwaipaja, Dodoma

 Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeliomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 21.3 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27.

Akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango na Bajeti bungeni, Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), alisema fedha hizo zitatumika kugharamia matumizi ya kawaida na maendeleo katika mafungu manane ya Wizara, ambapo kati ya fedha hizo, shilingi trilioni 19.4 zitatumika kwa matumizi ya kawaida huku shilingi trilioni 1.8 zikielekezwa kwenye miradi ya maendeleo.

Alisema kuwa katika Bajeti hiyo, Serikali imepanga kuendelea kusimamia uchumi kwa weledi ili kuhakikisha ukuaji wa uchumi unafikia asilimia 6.3 mwaka 2026 huku mfumuko wa bei ukidhibitiwa kubaki katika katika wigo wa wastani wa asilimia 3 hadi 5.

“Serikali pia inalenga kuimarisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma pamoja na kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato ya ndani” alisema Mhe. Balozi Omar.

Aidha, alibainisha kuwa Wizara imepanga kutenga shilingi bilioni 100 kila mwezi kwa ajili ya kulipa madeni ya watumishi, wakandarasi, wazabuni na watoa huduma ili kupunguza changamoto za malimbikizo ya madeni serikalini.

Kwa upande wa mapato, alisema kuwa Wizara ya Fedha imekadiriwa kukusanya jumla ya shilingi trilioni 55.2, ambapo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajiwa kukusanya zaidi ya shilingi trilioni 39.

Katika hatua nyingine, aliliomba Bunge kuiidhinishiwa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi shilingi bilioni 132.2 kwa ajili ya kuimarisha shughuli za ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma pamoja na kuendelea na ujenzi wa ofisi zake katika baadhi ya mikoa nchini.

Mhe. Balozi Omar alieleza kuwa bajeti hiyo imeandaliwa kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa pamoja na Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA 2025/26

Mhe. Balozi Omar alieleza kuwa jumla ya shilingi trilioni 20.18 ziliidhinishwa kwa ajili ya utekelezaji wa matumizi ya kawaida na maendeleo kwa mafungu manane ya wizara hiyo katika mwaka wa fedha 2025/26.

Alisema kati ya fedha hizo, shilingi trilioni 19.43 zilitengwa kwa matumizi ya kawaida ikijumuisha mishahara ya shilingi trilioni 1.10 na matumizi mengineyo ya shilingi trilioni 18.33.

“Bajeti ya maendeleo ilikuwa shilingi bilioni 747.30, ambapo shilingi bilioni 601.70 zilikuwa fedha za ndani na shilingi bilioni 145.60 fedha za nje” Alisema Mhe. Balozi Omar.

Alisema kuwa wakati wa mapitio ya kati ya mwaka, bajeti ya wizara ilihuishwa na kupungua kutoka shilingi trilioni 20.18 hadi shilingi trilioni 19.94, ambapo kati ya kiasi hicho, shilingi trilioni 19.45 zilitengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi bilioni 485.99 kwa ajili ya miradi ya maendeleo.

“Hadi kufikia mwisho wa Aprili 2026, wizara ilikuwa imepokea jumla ya shilingi trilioni 14.08 sawa na asilimia 70.63 ya bajeti iliyohuishwa. Matumizi halisi yalifikia shilingi trilioni 14.05, sawa na asilimia 99.76 ya fedha zilizopokelewa” alifafanua Mhe. Balozi Omar.

Wizara pia ilieleza mafanikio yaliyopatikana katika ukusanyaji wa mapato, usimamizi wa deni la Serikali pamoja na ukuaji wa uchumi ambapo katika kipindi cha Julai 2025 hadi Aprili 2026, Serikali ilifanikiwa kukusanya na kutafuta shilingi trilioni 41.37 kutoka vyanzo vya ndani na nje, sawa na ufanisi wa asilimia 82.4 ya lengo la mwaka.

Katika kipindi hicho, Serikali ilitumia shilingi trilioni 9.74 kuhudumia deni la Serikali, ambapo shilingi trilioni 4.45 zilielekezwa kwenye deni la nje na shilingi trilioni 5.29 kwa ajili ya deni la ndani na kwamba ulipaji wa madeni kwa wakati umeendelea kuijengea Tanzania imani katika masoko ya fedha ya kikanda na kimataifa.

“Nina furaha kulijulisha Bunge lako Tukufu kuwa Tanzania imeibuka mshindi wa jumla katika Tuzo ya Usimamizi wa Deni la Umma katika nchi za Jumuiya ya Madola, pamoja na tuzo ya Ofisi Bora ya Usimamizi wa Deni la Serikali katika Kanda ya Afrika” alisisitiza Mhe. Balozi Omar.

Kwa upande wa uchumi, Tanzania ilikua kwa wastani wa asilimia 5.9 mwaka 2025 ikilinganishwa na asilimia 5.5 mwaka 2024. Ukuaji huo umechangiwa na kuongezeka kwa mikopo kwa sekta binafsi, kuimarika kwa miundombinu, shughuli za kilimo, uchimbaji madini, ujenzi pamoja na utekelezaji wa miradi ya kimkakati.

Aidha, alieleza kuwa kiwango cha mfumuko wa bei kiliendelea kubaki katika wastani wa asilimia 3.4 huku akiba ya fedha za kigeni ikifikia dola za Marekani bilioni 5.723, kiasi kinachotosheleza uagizaji wa bidhaa na huduma kutoka nje kwa zaidi ya miezi 4.4.

About the author

Alex Sonna