Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

TANZANIA YANG’ARA KATIKA HUDUMA ZA UBINGWA BOBEZI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa,akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Mei 11,2026  bungeni Dodoma.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA 

Serikali imeendelea kufanya mapinduzi makubwa katika sekta ya afya baada ya kuimarisha huduma za matibabu ya ubingwa na ubingwa bobezi nchini, hatua iliyowezesha wananchi wengi kupata matibabu ya kisasa ndani ya Tanzania badala ya kusafiri nje ya nchi kama ilivyokuwa awali.

Hayo yameelezwa leo bungeni na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, wakati akiwasilisha mapato na matumizi ya Wizara hiyo Kwa mwaka wa fedha 2026-2027,amesema Katika kipindi cha kuanzia mwaka 2021/2022 hadi Machi 2026, hospitali za rufaa na taasisi maalum za afya zimefanikiwa kutoa huduma mbalimbali za kibingwa zilizogusa maisha ya maelfu ya wananchi.

Mhe.Mchengerwa amesema kuwa wagonjwa 170 wamefanyiwa upandikizaji wa figo huku wagonjwa 57 wakipatiwa huduma ya upandikizaji wa uloto. Aidha, wagonjwa 102 walipatiwa vifaa vya usikivu na wengine 200 kufanyiwa uwekaji wa puto tumboni.

Huduma nyingine zilizotolewa ni pamoja na kuondoa mawe kwenye mfumo wa mkojo kwa kutumia mawimbi mshtuko kwa wagonjwa 510, upandikizaji wa nyonga na magoti kwa wagonjwa 1,791 pamoja na upasuaji wa mgongo kwa wagonjwa 1,688.

“Katika hatua inayoonyesha kukua kwa teknolojia ya tiba nchini, wagonjwa 98 walifanyiwa upasuaji wa kibiongo huku wagonjwa 2,095 wakifanyiwa upasuaji wa vichwa vikubwa na mgongo wazi. Pia wagonjwa 1,246 walifanyiwa upasuaji wa magoti kwa njia ya matundu.”amesema 

Serikali  imefanikiwa kutoa huduma za hali ya juu katika tiba za moyo, ubongo na saratani. Wagonjwa 1,208 walifanyiwa upasuaji wa ubongo kwa kufungua kichwa na wengine 785 kufanyiwa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu.

Katika huduma za moyo, wagonjwa 73 walifanyiwa upasuaji wa moyo kwa kufungua kifua huku wagonjwa 2,074 wakifanyiwa huduma ya kuzibua mishipa ya moyo. Aidha, wagonjwa 34 walifanyiwa upandikizaji wa vifaa vya kurekebisha mapigo ya moyo.

Kwa upande wa matibabu ya saratani, wagonjwa 6,097 walifanyiwa upasuaji wa magonjwa ya saratani huku wagonjwa 4,024 wakipatiwa tiba ya immunotherapy. Vilevile, wagonjwa 10,056 walipata tiba ya mionzi ya ndani na wagonjwa 731 kufanyiwa uchunguzi kwa kutumia teknolojia ya PET-CT Scan.

Serikali imesema uwekezaji huo mkubwa umechangia kupunguza gharama kwa wananchi waliokuwa wakisafiri nje ya nchi kutafuta huduma hizo huku pia ukiifanya Tanzania kuwa kitovu cha tiba kwa nchi jirani.

Kutokana na ubora wa huduma hizo, wagonjwa 26,770 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika yakiwemo Comoros, Democratic Republic of the Congo, Zambia, Malawi, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuja nchini kupata huduma za matibabu.

About the author

Alex Sonna