Vyama 12 Vimepongeza ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya tarehe 29 na baada ya uchaguzi iliyowasilishwa na Jaji Chande.
Katika mkutano huo Mhe Doyo alipongeza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa kukubaliana na mapendekezo yote yaliyopendekezwa na tume hiyo, aidha Mhe.Doyo amesisitiza pendekezo namba nne na pendekezo namba tano mamlaka husika wayafanyie kazi haraka kuondoa mzozo uliopo wa kisiasa hapa nchini.
.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)
