marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

MRADI WA TACTIC KUONGEZA MTANDAO WA BARABARA ZA LAMI MANISPAA YA MOSHI  

Written by Alex Sonna

 

Moshi, Kilimanjaro 

‎Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) chini ya mradi wa Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) inalenga kuongeza mtandao wa barabara za lami Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro sambamba na kukarabati na kujenga mifereji ya maji ya mvua itakayosaidia kurahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji na kuondoa kero ya mafuriko.

‎Akizungumza kwenye mahojiano maalum, Mratibu wa mradi wa TACTIC Manispaa ya Moshi Mhandisi Daniel Kileo ameishukuru serikali kwa kuleta mradi huo kwani utasaidia kuimarisha shughuli za kiuchumi, biashara na kijamii, kupunguza foleni, kuongeza fursa za ajira, thamani ya ardhi kupanda, na kuongeza mapato ya halmashauri baada ya kukamilika.

‎”Mradi huu unakuja kama mkombozi kwenye Manispaa yetu, ujenzi wa barabara za lami Km 14 zitapendezesha mji pia ujenzi wa mfereji wa Kibong’oto Km 1.9 kata ya Kilimanjaro na ujenzi wa mfereji katika barabara ya Chuo cha Ushirika-Kizz Hotel-Moshi Pazuri Km 2.02 itasaidia kuondoa maji katika makazi ya watu”, amesema.

‎Ameongeza kuwa mradi huo utatekelezwa kwa muda wa miezi 15 na unatarajiwa kukamilika tarehe 24 Januari 2027 ambapo mpaka sasa umefikia asilimia 5 kwa gharama ya shilingi Bilioni 24.4 kupitia mkopo nafuu toka Benki ya Dunia.

‎Aidha, amesema kuwa miongoni mwa barabara zitakazojengwa ni barabara ya Ruwaichi-Njoro Km 6.85 inayounganisha kata za Ng’ambo, Msaranga, Mji mpya na Njoro, barabara ya  Pepsi Km 1.25 inayounganisha kata ya Kaloleni na Njoro, barabara ya Shirima Tunda-Magereza Km 5.089 inayounganisha kata ya Karanga na Shirima Tunda. 

‎Kwa upande wake, Fundi Sanifu TARURA wilaya ya Moshi Bi. Joyce Kapelo amesema kuwa TARURA wilaya ya Moshi ina mtandao wa barabara za lami Km 105 kupitia mradi zitaongezeka Km 14 na kufikia Km 119 za lami, hivyo wanaishukuru serikali kwa mradi huo utakaosaidia kuboresha huduma za kijamii na kiuchumi.

‎ 

‎Naye, Diwani wa kata ya Shirima Tunda Mhe. Francis Shio ameishukuru serikali kwa ujenzi wa barabara ya Shirima Tunda-Magereza ambayo ni barabara kuu ya kuelekea Arusha ambapo kukamilika kwa barabara hiyo kutaongeza fursa za biashara na huduma za kijamii kufikika kwa urahisi. Pia amewaomba wananchi kuitunza miundombinu hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu.

‎Bw. Mtui Jacob mkazi wa kata ya Ng’ambo ‎ameeleza kuwa hapo awali kipindi cha mvua barabara zilikuwa hazipitiki zilikuwa na makorongo walikuwa wanatembea hadi Km 4 kufika mjini lakini barabara ikikamilika usafiri utakuwa karibu na kurahisisha kuzifikia huduma za kijamii kwa urahisi.

‎Naye, Bi. Lucy Macha mkazi wa mtaa wa Msaranga ambaye ni mfanyabiashara ndogondogo amesema lami ikiwekwa itawasaidia kupata wateja wengi na pia taa zikiwekwa watafanya biashara hadi usiku na kusaidia kuimarisha usalama katika maeneo yao.

About the author

Alex Sonna