marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

MHE. LUSWETULA AHIMIZA UADILIFU NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUIMARISHA UKAGUZI WA NDANI

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Nne wa Wakaguzi wa Ndani, ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Cate, mkoani Morogoro.

Na. Saidina Msangi, WF, Morogoro.

Wakaguzi wa ndani nchini wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi na kwa kuzingatia maadili ya kazi ili kulinda maslahi ya Taifa na kuhakikisha fedha za Serikali zinatumika ipasavyo.

Maagizo hayo yalitolewa na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakati akifungua Mkutano wa Nne wa Wakaguzi wa Ndani, ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Nchini (IIA), katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Cate, mkoani Morogoro.

Alisema uadilifu ni nguzo kuu itakayowezesha taasisi za umma kutoa huduma bora na zenye tija kwa wananchi pamoja na kujenga mfumo imara wa udhibiti ambao utasaidia kuziba mianya ya upotevu wa fedha na kuongeza ufanisi katika matumizi ya mali za umma.

‘‘Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti kuimarisha uwazi, kujenga imani ya umma, kuzuia rushwa, na kusisitiza uwajibikaji katika matumizi ya fedha hivyo wakaguzi wa ndani wana wajibu wa kusimamia matumizi sahihi ya rasilimali za umma’’, alisema Mhe. Luswetula.

Alisisitiza kuwa thamani ya umma inapatikana pale hatua za Serikali zinapopelekea uboreshaji wa huduma, matumizi bora ya rasilimali, kupungua kwa rushwa na ubadhirifu, na kuongezeka kwa imani ya wananchi.

‘‘Wakaguzi wa ndani wanachangia thamani hii kwa kuimarisha utawala, usimamizi wa vihatarishi, na mifumo ya udhibiti wa ndani kwa kutoa uhakiki huru na mapendekezo kwa ajili ya maboresho kuziwezesha taasisi za umma kufikia malengo yake kwa tija na kwa kufuata maadili’’, alifafanua Mhe. Luswetula.

Aidha, alisisitiza ushirikiano wa karibu na vitengo vya ukaguzi wa ndani katika kudhibiti rasilimali za umma, kulinda uhuru wa wakaguzi na kuhakikisha kuwa mapendekezo yanayotolewa baada ya ukaguzi yanafanyiwa kazi kikamilifu.  

Vilevile aliwaasa wakaguzi wa ndani kujiandaa na mabadiliko ya teknolojia kwa kujifunza matumizi ya takwimu, akili bandia, na mifumo ya ukaguzi wa kidijitali ili kusaidia kurahisisha kazi na kuleta matokeo ya haraka na sahihi.

Mhe. Luswetula alisema ana imani mkutano wa mwaka huu wenye kauli mbiu “Kuleta Matokeo kwa Pamoja: Ukaguzi wa Ndani kwa Ajili ya Thamani ya Umma” utaimarisha mchango wa ukaguzi wa ndani katika sekta ya umma, huku ukiwapa wajumbe wa Bodi na menejimenti mbinu za kivitendo za kutekeleza majukumu yao ya usimamizi.

‘‘Kaulimbiu hii inagusa kiini cha utumishi wa umma kutoa huduma bora kwa wananchi kupitia uwajibikaji, uwazi, na utawala bora. Inatazama mbele thamani ya ukaguzi wa ndani katika kuleta matokeo chanya pale unapofanya kazi kwa ushirikiano na wadau ili kubadilisha uhakiki, maarifa, na ushauri kuwa matokeo yanayoonekana’’, alisisitiza Mhe. Luswetula.

Awali akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Kaimu Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Wizara ya Fedha, Bw. Kenneth Nindie, alisema kuwa kujenga uwezo wakaguzi wa ndani ni muhimu katika kuboresha ukaguzi wa ndani nchini na kuwawezesha kuendana na mabadiliko ya teknolojia.

Alisema washiriki wa mkutano huo watapata mbinu za kiutendaji na ufahamu wa kina kuhusu namna ya kuboresha ufanisi kazini, huku wakipata nafasi ya kubadilishana uzoefu na kujifunza kutoka kwa wataalamu wengine wa sekta hiyo.

Naye Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Nchini (IIA), Jonathan Ngoma, amesema mkutano huo umelenga kuwaleta pamoja wadau mbalimbali kujadili masuala ya uongozi bora na namna ya kuimarisha mifumo ya ukaguzi wa ndani nchini.

Mkutano huo uliwakutanisha viongozi wa Serikali, wajumbe wa menejimenti, wakaguzi wa ndani, wahasibu, wataalamu wa fedha, na wadau muhimu ili kutafakari, kujifunza, na kushauriana jinsi tunavyoweza kuendelea kuimarisha utawala bora, uwajibikaji, na uwazi katika sekta ya umma.

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), akikabidhiwa tuzo na aliyekuwa rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), Bi. Enna Victor, baada ya kufungua Mkutano wa Nne wa Wakaguzi wa Ndani, ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Cate, mkoani Morogoro. 

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Nne wa Wakaguzi wa Ndani, ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Cate, mkoani Morogoro.

Kaimu Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Wizara ya Fedha, Bw. Kenneth Nindie, akizungumza katika Mkutano wa Nne wa Wakaguzi wa Ndani, ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Cate, mkoani Morogoro.

Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), Bw. Jonathan Ngoma, akizungumza katika Mkutano wa Nne wa Wakaguzi wa Ndani, ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Cate, mkoani Morogoro.

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb) (katikati), akifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika Mkutano wa Nne wa Wakaguzi wa Ndani, ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Cate, mkoani Morogoro.

Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika Mkutano wa Nne wa Wakaguzi wa Ndani, ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Cate, mkoani Morogoro. 

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), akiteta jambo na Kaimu Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Wizara ya Fedha, Mhadhisi Kenneth Nindie (kulia), baada ya kufungua Mkutano wa Nne wa Wakaguzi wa Ndani, ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Cate, mkoani Morogoro.

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), akifurahia jambo na Msajili wa Hazina Zanzibar Bw. Waheed Muhammad Ibrahim (kulia), baada ya uzinduzi wa Mkutano wa Nne wa Wakaguzi wa Ndani, ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Cate, mkoani Morogoro.

Meza Kuu ikiongozwa na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufungua Mkutano wa Nne wa Wakaguzi wa Ndani, ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani (IIA), katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Cate, mkoani Morogoro.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Morogoro)

About the author

Alex Sonna