marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

casinomilyon

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

meritking

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI DKT GWAJIMA AIELEZA DUNIA MAFANIKIO YA MAPAMBANO DHIDI YA UKEKETAJI.

Written by Alex Sonna

Na WMMJW- New York Marekani.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo, inaendelea kuimarisha hatua za kinga na huduma kwa waathirika wa ukatili wa kijinsia na watoto kupitia utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto (NPA–VAWC II) wa mwaka 2024/25 hadi 2028/29 pamoja na Mkakati wa Kitaifa wa Kisekta wa Kutokomeza Ukeketaji wa mwaka 2025/26 hadi 2029/30.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima wakati akishiriki Mkutano wa pembeni ulioandaliwa na nchi ya Liberia uliolenga kutathmini maendeleo na changamoto katika mapambano dhidi ya ukeketaji ndani ya Mkutano wa 70 wa Hali ya Wanawake Duniani unaoendelea jijini New York nchini Marekani.

Waziri Dkt. Gwajima amesema, Serikali ya Tanzania inaendelea kuimarisha juhudi za kutokomeza ukeketaji nchini huku akisema ukeketaji ni kitendo cha ukatili wa kijinsia na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu kwa wanawake na watoto wa kike.

Ameongeza kuwa, kwa mujibu wa takwimu za Utafiti wa Afya na Viashiria vya Malaria wa Tanzania wa mwaka 2022 (TDHS-MIS), kiwango cha ukeketaji kwa wanawake wenye umri wa miaka 15 hadi 49 kimepungua kutoka asilimia 10 hadi asilimia 8 huku kukiwa bado na maeneo yenye viwango vya juu hususan mikoa ya Arusha na Manyara yenye asilimia 43 kila mmoja ikifuatia na mingine.

Akifafanua athari za ukeketaji, Waziri Dkt. Gwajima amesema kitendo hicho husababisha madhara makubwa ya kiafya na kisaikolojia, ikiwemo maumivu makali, kutokwa na damu nyingi, maambukizi ya magonjwa, matatizo wakati wa kujifungua na wakati mwingine kusababisha vifo vya Wanawake.

“Katika ngazi ya utekelezaji, Serikali imeanzisha nyumba salama kwa wasichana walio katika hatari ya kukeketwa, vituo vya huduma jumuishi kwa ajili ya kuwahudumia waathirika, pamoja na dawati za jinsia na watoto katika vituo vya polisi ili kuhakikisha waathirika wanapata ulinzi na haki zao zinasikilizwa.” ameeleza Waziri Dkt. Gwajima

Hata hivyo, Waziri Dkt. Gwajima amebainisha kuwa, pamoja na mafanikio yaliyopatikana, bado kuna changamoto ya rasilimali zinazohitajika kupanua huduma huku akiwataka wadau wa maendeleo kuendelea kushirikiana na Serikali katika juhudi za kutokomeza ukeketaji.

Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri wa Masuala ya Jinsia wa Liberia Mhe. Gbeme Horace-Kollie huku ukihudhuriwa na Mawaziri wa masuala ya Jinsia kutoka nchi za Liberia, Kenya, Tanzania, Gambia na Wawakilishi wa Shirika la UN Women.

About the author

Alex Sonna