Featured Kitaifa

RAIS DKT.SAMIA ATETA NA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA ABIY AHMED

Written by Alex Sonna

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mheshimiwa Abiy Ahmed pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika, tarehe 14 Februari, 2026 jijini Addis Ababa, Ethiopia.  

About the author

Alex Sonna