Featured Kitaifa

WAZIRI MASAUNI AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA NYUMBANI KWAKE DODOMA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (wa pili kulia) akilisha Samaki katika bwawa la kufugia nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Peter Pinda alipomtembelea nyumbani kwake Dodoma, Februari 10, 2026.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Peter Pinda akilisha Samaki katika bwawa la kufugia, wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni alipomtembelea nyumbani kwake Dodoma Februari 10, 2026. Wa mwisho kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Peter Pinda (katikati) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kushoto) alipomtembelea nyumbani kwake Dodoma, Februari 10, 2026. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi. 

PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

About the author

Alex Sonna