Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AZINDUA BOTI MPYA YA KILIMANJARO 1X ZANZIBAR

Written by Alex Sonna
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Meli ya Kilimanjaro 1X katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro 1X (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Maruhubi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akipatiwa Maelezo na Mkurugenzi wa Makampuni ya Azam Marine Salim Azizi katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro 1X (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Maruhubi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Viongozi mbalimbali akielekea katika Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro 1X (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Maruhubi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro 1X (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Maruhubi Zanzibar.
Muonekano wa Boti ya Kilimanjaro 1X (TISA) iliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK,Hussein Ali Mwinyi  katika Hoteli ya Verde Maruhubi Zanzibar.
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro 1X (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Maruhubi Zanzibar.
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Azam Marine Abubakar Aziz Salim akitoa maelezo ya Mradi katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro 1X (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Maruhubi Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji ZIPA Saleh Salim Mohamed akitoa maelezo ya Kitaalamu katika  hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro 1X (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Maruhubi Zanzibar.
Waziri wa Kazi na Uwekezaji Sharif Ali Sharif akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro 1X (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Maruhubi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Kitabu Maalum chenye Matukio ya Uwekezaji na Waziri wa Kazi na Uwekezaji Sharif Ali Shari katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro 1X (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Maruhubi Zanzibar.
 (PICHA NA YUSSUF  SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.

About the author

Alex Sonna