Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AZINDUA HOTELI YA JAZ ELITE AURORA ZANZIBAR

Written by Alex Sonna

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mmiliki wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora, Bw. Hamed El Chiaty kuashiria uzinduzi wa Hoteli hiyo katika hafla iliyofanyika Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Januari, 2026.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora katika hafla iliyofanyika Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Januari, 2026.    

Taswira ya Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 09 Januari, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Januari, 2026.

About the author

Alex Sonna