
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Viongozi mbalimbali, wakati alipowasili Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar katika Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Tarehe 09 Januari 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi, iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 09 Januari 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi, iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 09 Januari 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akikagua vitabu vya kujifunzia katika Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Makunduchi, wakati wa ufunguzi wa Skuli hiyo iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 09 Januari 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisikiliza maelezo ya wanafunzi, alipotembelea maabara ya Fizikia, wakati wa Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi, iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 09 Januari 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishuhudia wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Makunduchi, wakifanya majaribio ya kemia kwa vitendo wakati wa Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi, iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 09 Januari 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi wakati wa ufunguzi wa Skuli hiyo iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 09 Januari 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 09 Januari 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na Viongozi mbalimbali, katika picha ya pamoja na Wazee waliotoa maeneo yao kwaajili ya Ujenzi wa Skuli ya Sekondari Makunduchi, wakati wa ufunguzi wa Skuli hiyo iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 09 Januari 2025.