Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ATOA POLE MSIBA WA BI LAURENCIA MABELLA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amefika nyumbani kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. Leonard Qwihaya, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, kutoa pole kufuatia kifo cha Mama mzazi wa Ndugu. Qwihaya Bi. Laurencia Shija Mabella.

About the author

Alex Sonna