marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

matbet

teosbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

casinoroyal

kavbet

marsbahis

perabet giriş

kavbet

casinowon giriş

mavibet giriş

imajbet

mavibet

pashagaming

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

restbet

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

norabahis

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

grandpashabet

galabet

İkimisli

onwin

sahabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lunabet

lunabet giriş

imajbet

bahiscasino

perabet

lunabet

kavbet

artemisbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

nesinecasino

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

artemisbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

hitbet

kavbet

kavbet

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

galabet giriş

interbahis

Featured Kitaifa

WANANCHI ZAIDI YA 6800 KATA YA BAHI NA MAKUTUPORA KUNUFAIKA NA MIRADI YA MAJI SAFI NA SALAMA

Written by Alex Sonna

Na. Meleka Kulwa – Dodoma

‎Wananchi zaidi ya 6,800 wa kata ya Bahi na Kata ya Makutupora Jijini Dodoma wanatarajiwa kunufaika na miradi ya maji safi na salama inayotekelezwa na Shirika la Habitat for Humanity Tanzania katika kata ya bahi wilaya ya bahi na mtaa wa Mchemwa uliopo Jimbo la Mtumba, Kata ya Makutupora.

‎Mkurugenzi wa Miradi wa Habitat for Humanity Tanzania, John Massenza, amezungumza na wazazi, wakuu wa Shule za Msingi Mchemwa na Mbande, viongozi wa serikali za mitaa pamoja na maafisa mbalimbali Desemba 12, 2025 Jijini Dodoma, kuhusu utekelezaji wa mradi huo unaotekelezwa kupitia Mradi wa WASH for Food Security, unaolenga kuondoa adha ya ukosefu wa maji iliyodumu kwa miaka mingi kwa wananchi wa maeneo hayo.

‎Amesema kuwa kupitia utekelezaji wa mradi huo, Habitat for Humanity Tanzania inaendelea kutekeleza dhamira yake ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma muhimu za kijamii zitakazoboresha maisha yao, huku akibainisha kuwa ni pamoja na kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi. Aidha amebainisha kuwa maji ni rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii, huku akifafanua kuwa dira ya shirika hilo ni kuwa na Taifa ambalo kila mtu anakuwa na mahali pa kuishi.

‎ Aidha amebainisha kuwa mradi huo utagharimu shilingi milioni 300 za Kitanzania na utatekelezwa kwa kipindi cha mwaka mmoja na miezi mitatu.

‎Amesema kuwa mradi huo utakapokamilika utapunguza changamoto ya upatikanaji wa maji katika mitaa ya Azimio, Mchemwa na Mbande, huku akibainisha kuwa nusu ya wakazi wa maeneo hayo wanakumbwa na changamoto ya ukosefu wa maji.

‎Aidha amebainisha kuwa kupitia mradi huo, Habitat for Humanity Tanzania inalenga kupunguza changamoto ya usalama wa chakula kwa wakazi wa maeneo hayo, akifafanua kuwa Jiji la Dodoma lina uhaba wa mvua na kupitia mradi huo wananchi wataweza kuanzisha kilimo cha umwagiliaji.

‎Amesema kuwa shirika hilo litawahamasisha na kuwawezesha wakulima kufanya kilimo cha umwagiliaji cha mazao ya biashara na matumizi ya nyumbani, huku akibainisha kuwa kupitia mradi huo wananchi watakuwa na uhakika wa kulima na kuvuna.

‎Aidha amebainisha kuwa miradi mingi ya maji hushindwa kuendelea kutokana na baadhi ya wananchi kushindwa kulipia gharama za umeme, hali inayosababisha miradi hiyo kushindwa kuendeshwa kwa ufanisi kutokana na gharama kubwa za uendeshaji.

‎Amesema kuwa mradi wa maji utakaotekelezwa katika mtaa wa Mchemwa utatumia vyanzo viwili vya nishati ambavyo ni umeme na nishati ya jua, huku akibainisha kuwa matumizi ya nishati ya jua yatasaidia kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi huo.

‎Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shule ya Msingi Mchemwa amesema kuwa mradi huo ni neema kubwa kwa wakazi wa mitaa ya Azimio, Mchemwa na Mbande. Aidha ametoa shukrani kwa Habitat for Humanity Tanzania pamoja na wadau wote walioshiriki kushauri na kuwa mradi huo utekelezwe katika mtaa wa Mchemwa na maeneo jirani

About the author

Alex Sonna