marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

matbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

betoffice

marsbahis

perabet giriş

interbahis

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betparibu, betparibu giriş

zirvebet, zirvebet giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

meritking güncel giriş

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

Starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

pokerklas

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pokerklas

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

casibom

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

deneme bonusu

hackhaber

Featured Kitaifa

MSICHUKUE BIDHAA ZA WAFANYABIASHARA-WAZIRI MKUU

Written by Alex Sonna

 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza na kusikiliza kero katika soko  la Machinga lililopo jijini Dodoma Desemba 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza na kusikiliza kero katika soko  la Machinga lililopo jijini Dodoma Desemba 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimsikiliza mfanyabiashara Mohammed Mkomi, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza na kusikiliza kero katika soko la Machinga lililopo jijini Dodoma Desemba 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimsikiliza mfanyabiashara Sofia Hassan, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza na kusikiliza kero katika soko la Machinga lililopo jijini Dodoma Desemba 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

….
 
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa maagizo kwa viongozi wa majiji na halmashauri zote nchini kuhakikisha wafanyabiashara hawanyang’anywi bidhaa zao na badala yake wawaelekeze namna bora ya kufuata taratibu zilizowekwa.

“…Msichukue bidhaa za raia; hizo ndio ofisi za raia wetu, hata kama kuna jambo ambalo anapaswa kuelekezwa kuhusu masuala ya utaratibu basi mshughulikie jambo linalohusu utaratibu, msizuie mitaji ya watu. Utaratibu wa kuchukua bidhaa haukubaliki na hakuna uhalali wa kuchukua bidhaa za raia. Msicheze na mitaji ya watu.”

Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Jumatatu, Desemba 8, 2025) wakati akizungumza na wafanyabiashara katika soko la Machinga jijini Dodoma baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa Richard Joseph ambaye ni mfanyabiashara sokoni hapo aliyedai kuchukuliwa bidhaa zake na watumishi wa jiji.

Mheshimiwa Dkt Mwigulu amemuagiza mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule pamoja na Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri wahakikishe wanafuatilia suala hilo na wahusika warudishe bidhaa za mfanyabiashara.  “Kama wamepotea nazo, wachukuliwe hatua kama wezi wengine. Mheshimiwa Rais hapendi uonevu, ni mtu wa haki.”

Waziri Mkuu ambaye amefanya ziara ya kushtukiza sokoni hapo ameagiza wafanyabiashara kutoondolewa kwenye vizimba vyao na kama bado kuna mahitaji makubwa ya maeneo ya kufanyia biashara uongozi wa mkoa utafute maeneo na kujenga masoko ili kutosheleza mahitaji.

Kwa upande wao wafanyabiashara katika soko hilo wamemshukuru Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kwa kufanya ziara hiyo ya kushtukiza na kusikiliza kero zao na kumuomba aendeleze utaratibu huo na maeneo mengine ya nchi.

Katika hatua nyingine, Dkt. Mwigulu amewasisitiza Watanzania kuendelea kudumisha amani na mshikamano ili waweze kufikia malengo ya kimaendeleo yaliyowekwa na Serikali. “Watanzania tukatae kugawanywa.”

Akizungumzia kuhusu maadhimisho ya siku ya Uhuru, Waziri Mkuu amewasihi wananchi kuitumia siku hiyo kwa ajili ya mapumziko isipokuwa kwa wale ambao watalazimika kwenda kazini kutokana na majukumu yao.

About the author

Alex Sonna