Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

spinco

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

İmajbet

royalbet

Featured Kitaifa

MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA WATUMISHI WA UMMA SEKTA YA ELIMU NA AFYA KUONGEZA TIJA KATIKA UTENDAJI KAZI

Written by Alex Sonna


Mwonekano wa jengo la mradi wa makazi ya Watumishi wa Umma lililopo katika Kijiji cha Makunda, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, mkoani Singida.

Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Patrick Allute (aliyenyanyua mkono) akizungumza jambo wakati Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments ikikagua na kufanya tathmini ya mwisho ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma katika Kijiji cha Makunda, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, mkoani Singida. Wengine ni Watumishi wa Zahanati ya Makunda.

Katibu wa Afya, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Bw. Sunday Mbonigaba (wakwanza kushoto) akifafanua jambo kwa Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments mara baada ya timu hiyo kukagua na kufanya tathmini ya mwisho ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma katika Halmashauri hiyo Kijiji cha Makunda mkoani Singida.

Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Patrick Allute (wanne kutoka kulia) akielekea kukagua na kufanya tathmini ya mwisho ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma katika Kijiji cha Makunda, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, mkoani Singida. Wengine ni Wakurugenzi na Maafisa kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments.

Mwonekano wa jengo la mradi wa makazi ya Watumishi wa Umma lililopo katika Kijiji cha Maluga, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, mkoani Singida.

Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Patrick Allute (aliyenyoosha mkono) akisisitiza jambo mara baada ya kukagua na kufanya tathmini ya mwisho ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma katika Kijiji cha Maluga, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, mkoani Singida. Wengine ni Wakurugenzi na Maafisa kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments.

Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments ikitazama makazi ya Watumishi wa Umma katika Kijiji cha Maluga, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, wakati ikikagua na kufanya tathmini ya mwisho ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma mkoani Singida.

Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Patrick Allute (wakwanza kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Watumishi Housing Investments, Bw. Paskali Massawe (kulia kwake) mara baada ya kukagua na kufanya tathmini ya mwisho ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma katika Kijiji cha Maluga, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, mkoani Singida.

Na. Veronica Mwafisi-Singida

Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Patrick Allute imefanya ziara ya kikazi iliyolenga kukagua na kufanya tathmini ya mwisho ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma wa Shule ya Sekondari Maluga yanayojengwa katika Kijiji cha Maluga, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba na Zahanati ya Makunda, Kijiji cha Makunda Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, mkoani Singida ambapo kukamilika kwa mradi huo kutasaidia kuongeza tija Serikalini.

Akizungumza kwa niaba ya timu hiyo mara baada ya kukagua mradi huo, Kaimu Mkurugenzi Allute amesema, makazi ya watumishi wa umma yanapokuwa karibu na maeneo ya kazi huongeza ufanisi na uwajibikaji hivyo, utekelezaji wa mradi huo kwa awamu ya kwanza katika mikoa ya Dodoma, Singida, Lindi, Pwani na Ruvuma utamkomboa mtumishi wa umma katika utendaji kazi.

“Maeneo ya pembezoni yamekuwa na changamoto ya makazi na kusababisha baadhi ya watumishi wa umma kutokutekeleza majukumu yao kwa ufanisi, kupitia mradi huu unaotekelezwa kwa awamu ya kwanza katika mikoa ya Dodoma, Singida, Lindi, Pwani na Ruvuma unatarajiwa kuongeza ufanisi na uwajibikaji kwa watumishi wa umma kwenye maeneo hayo,” amesema Mkurugenzi Allute

Naye, Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Mipango na Bajeti, Bi. Julieth Magambo amesema ili makazi hayo yawe na ubora wa kudumu ni vema Watumishi watakaoishi katika makazi hayo wakazingatia utunzaji wa miundombinu.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji kutoka Watumishi Housing Investments, Bw. Paskali Massawe, amesema makazi hayo yamejengwa kwa kuzingatia ubora ili kuendana na malengo ya Serikali katika kuwatengenezea mazingira bora watumishi wa umma.

Kadhalika, Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya fedha, Bw. Ezekiel Odipo ameeleza kuwa, ili kutimiza malengo ya Serikali ya kuongeza tija kwa watumishi wa umma fedha nyingi imetolewa kwa lengo la kuboresha makazi ya watumishi hao ili waweze kutoa huduma bora kwa ustawi wa taifa.

About the author

Alex Sonna