marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

imajbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

interbahis

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

matbet

sekabet giriş

imajbet

pusulabet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

TANZANIA KUNUFAIKA NA PROGRAM YA BENKI YA DUNIA YA KUENDELEZA KILIMO

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kushoto),akiagana na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Zarau Wendeline Kibwe, baada ya kumalizika kwa kikao chao kilichofanyika Makao Makuu ya Benki ya Dunia, Jijini Washington D.C, nchini Marekani, ambapo katika kikao hicho Benki hiyo ilisema Tanzania itanufaika na mpango mpya wa Benki ya Dunia wa kuboresha mnyororo wa thamani wa sekta ya kilimo katika Bara la Afrika, kupitia program yake mpya ya kuendeleza kilimo ya AgroConnect, itakayogharimu dola bilioni 9 za Marekani.

Na Benny Mwaipaja, Washington D.C

Tanzania inatarajiwa kunufaika na mpango wa Benki ya Dunia wa kuboresha mnyororo wa thamani wa sekta ya kilimo katika Bara la Afrika, kupitia program yake mpya ya kuendeleza kilimo ya AgroConnect, itakayogharimu dola bilioni 9 za Marekani.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Zarau Wendeline Kibwe, alipokutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, Makao Makuu ya Benki hiyo Jijini Washington D.C, nchini Marekani.

Dkt. Kibwe ambaye ni Mtanzania anayeshikilia nafasi hiyo kubwa katika Benki ya Dunia, alisema kuwa program hiyo itahusisha kuwasaidia wakulima kuboresha kilimo kwa kuongeza thamani ya mazao yao na kuwaunganisha na masoko ya uhakika.

Alisema kuwa hatua hiyo si tu kwamba itaongeza usalama wa upatikanaji wa chakula, bali pia utaongeza upatikanaji wa ajira na kukuza uchumi jumuishi katika nchi wanachama wa Benki ya Dunia.

Alisema kuwa Benki ya Dunia inathamini ushirikiano mkubwa uliopo kati ya Benki yake na Tanzania na kwamba itaendeleza ushirikiano huo kupitia mwelekeo mpya wa kisera ambapo msisitizo mkubwa umewekwa katika maeneo matano yenye kuziwezesha nchi wanachama hususan zilizoko katika Ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara, kuwekeza kwenye miradi itakayochangia kukuza ajira, kupitia sekta za kilimo biashara, ujenzi wa miundombinu ikiwemo reli, nishati, afya, utalii na uzalishaji viwandani vitakavyo changia kuongeza thamani ya bidhaa.

Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, pamoja na kuishukuru Benki ya Dunia kwa kuendelea kutoa fedha zinazotumika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo, alionesha furaha yake kwa Benki ya Dunia kuonesha utayari wake wa kusaidia ujenzi wa mradi mkubwa wa kimkakati wa Reli ya Kisasa (SGR), sekta ya madini, kilimo, elimu na ujenzi wa miundombinu mbalimbali.

Dkt. Mwamba alisema kuwa mpango wa Benki ya Dunia wa kuboresha sekta ya kilimo Barani Afrika unakwenda sambamba na vipaumbele vya Serikali ya   Tanzania kuendeleza sekta hiyo kupitia Dira ya Taifa ha Maendeleo ya 2050.

Uwekezaji wa Benki ya Dunia katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania umefikia dola za Marekani bilioni 10.9 ambapo miradi 38 ya maendeleo ya kitaifa na kikanda inatekelezwa katika sekta mbalimbali ikiwemo afya, maji, elimu, nishati, ujenzi wa miundombinu ya barabara, na huduma za kijamii ikiwemo masoko na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Katibu Mkuu, Fedha na Mipango kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil na Kamishna Msaidizi wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Robert Mtengule.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kushoto),akiagana na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Zarau Wendeline Kibwe, baada ya kumalizika kwa kikao chao kilichofanyika Makao Makuu ya Benki ya Dunia, Jijini Washington D.C, nchini Marekani, ambapo katika kikao hicho Benki hiyo ilisema Tanzania itanufaika na mpango mpya wa Benki ya Dunia wa kuboresha mnyororo wa thamani wa sekta ya kilimo katika Bara la Afrika, kupitia program yake mpya ya kuendeleza kilimo ya AgroConnect, itakayogharimu dola bilioni 9 za Marekani.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (watatu kushoto), na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Zarau Wendeline Kibwe (watatu kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa Waandamizi wa Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia baada ya kumalizika kwa kikao chao kilichofanyika Makao Makuu ya Benki ya Dunia, Jijini Washington D.C, nchini Marekani, ambapo katika kikao hicho Benki ya Dunia ilisema Tanzania itanufaika na mpango mpya wa Benki ya Dunia wa kuboresha mnyororo wa thamani wa sekta ya kilimo katika Bara la Afrika, kupitia program yake mpya ya kuendeleza kilimo ya AgroConnect, itakayogharimu dola bilioni 9 za Marekani.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Washington DC, Marekani)

 

About the author

Alex Sonna