marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet giriş

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

bets10

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

celtabet

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

betist

betist

Featured Kitaifa

WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUFUATA MAADILI YA UTENDAJI

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Ofisi ya Rais–Utumishi, Bi. Hilda Kabissa,akizungumza  wakati akifungua kikao cha kubadilishana uzoefu kuhusu usimamizi wa maadili na utawala bora kati ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka za kitaaluma kwa niaba ya  Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo kilichoanza leo Oktoba 2,2025 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

OFISI  ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imesema imekuwa ikipokea malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu namna baadhi ya watumishi wa umma wanavyotoa huduma, ikiwamo matumizi ya lugha zisizofaa, kutojali utu na majibu yanayokatisha tamaa, kinyume na sheria, kanuni na maadili ya utumishi wa umma.

Hayo yamesemwa leo Oktoba 2,2025 jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Ofisi ya Rais–Utumishi, Bi. Hilda Kabissa, wakati akifungua kikao cha kubadilishana uzoefu kuhusu usimamizi wa maadili na utawala bora kati ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka za kitaaluma kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo.

“Ofisi yangu imekuwa ikipokea mrejesho wa malalamiko kutoka kwa wananchi kutoridhishwa na namna ambavyo huduma zimekuwa zikitolewa, yakiwemo matumizi ya lugha zisizofaa kutoka kwa watumishi wa umma kinyume na sheria, kanuni, taratibu na mienendo ya maadili ya utendaji na maadili ya kitaaluma katika utumishi wa umma,” amesema Bi. Kabissa.

Amesema kuwa  kikao hicho kinalenga kuwakumbusha watumishi wote kuzingatia sheria, kanuni na maadili ya taaluma zao ili kutoa huduma bora, kwa kuzingatia weledi, uadilifu na uwajibikaji, hatua itakayosaidia kupunguza malalamiko na kuongeza imani ya wananchi kwa serikali.

Aidha, amewataka waajiri katika utumishi wa umma kuweka kipaumbele katika utoaji wa mafunzo ya maadili kwa watumishi wapya na waliopo, pamoja na kuepuka vitendo vya rushwa katika kazi na usimamizi wa miradi ya maendeleo.

Bi.Kabissa pia amehimiza uwekezaji zaidi kwenye mifumo ya kielektroniki katika utoaji wa huduma ili kuongeza uwazi, uwajibikaji na ufanisi.

“Hali hii itasaidia kuongea uwajibikaji, uwazi na ufanisi kwa kupunguza mianya na vitendo vya rushwa kwa watumishi wa umma katika maeneo yenu pindi wanapotoa huduma kwa wananchi,”amesisitiza

Kadhalika, amewakumbusha watumishi na wananchi kusimamia utawala bora na kushiriki ipasavyo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, kwa kutimiza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura.

Naye, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Maadili wa ofisi hiyo, Felster Shuli, amesema kuwa kikao hicho ni mwendelezo wa majadiliano ya kubadilishana uzoefu kuhusu usimamizi wa maadili ya utendaji na kitaaluma kilichoanza Septemba 2023.

“Katika siku hizi mbili za kikao kazi, tunatarajia kupokea mada tano zitakazojikita katika kuimarisha usimamizi wa maadili ya utendaji na kitaaluma katika utumishi wa umma,” amesema Bi. Shuli.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Ofisi ya Rais–Utumishi, Bi. Hilda Kabissa,akizungumza  wakati akifungua kikao cha kubadilishana uzoefu kuhusu usimamizi wa maadili na utawala bora kati ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka za kitaaluma kwa niaba ya  Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo kilichoanza leo Oktoba 2,2025 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Maadili wa ofisi hiyo, Felster Shuli,akizungumza  wakati wa kikao cha kubadilishana uzoefu kuhusu usimamizi wa maadili na utawala bora kati ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka za kitaaluma  leo Oktoba 2,2025 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Ofisi ya Rais–Utumishi, Bi. Hilda Kabissa (hayupo pichani),  wakati akifungua kikao cha kubadilishana uzoefu kuhusu usimamizi wa maadili na utawala bora kati ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka za kitaaluma kwa niaba ya  Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo kilichoanza leo Oktoba 2,2025 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Ofisi ya Rais–Utumishi, Bi. Hilda Kabissa,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  kikao cha kubadilishana uzoefu kuhusu usimamizi wa maadili na utawala bora kati ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka za kitaaluma kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo  leo Oktoba 2,2025 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Ofisi ya Rais–Utumishi, Bi. Hilda Kabissa,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  kikao cha kubadilishana uzoefu kuhusu usimamizi wa maadili na utawala bora kati ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka za kitaaluma kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo  leo Oktoba 2,2025 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Ofisi ya Rais–Utumishi, Bi. Hilda Kabissa,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  kikao cha kubadilishana uzoefu kuhusu usimamizi wa maadili na utawala bora kati ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka za kitaaluma kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo  leo Oktoba 2,2025 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Ofisi ya Rais–Utumishi, Bi. Hilda Kabissa,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  kikao cha kubadilishana uzoefu kuhusu usimamizi wa maadili na utawala bora kati ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka za kitaaluma kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo  leo Oktoba 2,2025 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna