marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Lisanslı Casino Siteleri

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

HAMZA TANDIKO AENDELEA KUWASHA MOTO WA KAMPENI MAGANZO

Written by Alex Sonna

 

 

Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Hamza Yusuph Tandiko.
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Kampeni za Uchaguzi Mkuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeendelea kushika kasi, ambapo Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Hamza Yusuph Tandiko, ameendelea kunadi Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030 akisisitiza kuwa ni ilani bora na mkombozi wa wananchi.

Akizungumza leo Jumapili, Septemba 28, 2025, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Sabasaba kata ya Maganzo, Tandiko amewaomba wananchi kujitokeza kwa wingi Oktoba 29, 2025 kupiga kura za ushindi kwa wagombea wote wa CCM kuanzia ngazi ya urais, ubunge na udiwani.
“Ilani ya Uchaguzi ya CCM ni ilani bora, imeelekeza mwanga katika sekta zote muhimu za maisha ya wananchi ikiwemo elimu, afya, miundombinu ya barabara, nishati ya umeme, maji safi na salama, uchumi na ajira, kilimo na ufugaji pamoja na michezo. Ninaomba kura kwa wagombea wote wa CCM – Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa urais, Lucy Mayenga kwa ubunge wa Jimbo la Kishapu, na mimi kijana wenu Hamza Tandiko kwa udiwani wa Maganzo,” amesema Tandiko.
Ameongeza kuwa kura za CCM ndiyo mkombozi wa Watanzania, akihimiza wananchi kuhakikisha chama hicho kinapata ushindi wa kishindo.
Tandiko ameeleza kuwa yeye ni kijana wa kizazi kipya aliyelelewa katika maadili ya CCM na yuko tayari kuwatumikia wananchi kwa moyo wa dhati.
 
“Nimesimama hapa si kwa maneno tu bali kwa vitendo. Mimi ni kijana wenu, ninajua changamoto zenu na ninayo dira ya maendeleo. Kupitia Ilani ya CCM nitahakikisha maji safi, elimu bora, barabara za uhakika, ajira kwa vijana na fursa kwa wanawake na watu wenye ulemavu zinapatikana. Kura kwa CCM ni kura ya maendeleo, kura ya mshikamano na kura ya ushindi wa Maganzo,” amesema Tandiko.
Tandiko pia amezungumzia uchimbaji wa madini ya almas na kuelezea mpango wa MBT (Mining for Brighter Tomorrow) unaoendelea kutekelezwa, kama ilivyoainishwa katika Ilani ya CCM ya 2020/2025. Ameisitiza kuwa mpango huu unalenga kuongeza mapato ya taifa, kuunda ajira kwa vijana, na kuhakikisha faida za madini zinawanufaisha wananchi wote, si wachache tu.
Hata hivyo, kutokana na hali ya mvua iliyojitokeza, ameahidi kwamba atakuwa akielezea kwa kina matarajio ya CCM katika sekta ya madini katika mikutano ijayo, ili wananchi waweze kuelewa faida na fursa zilizopo.
Katika mkutano huo, viongozi mbalimbali wa CCM akiwemo Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Kishapu, Jenipher Juma Nangi, wameungana na Tandiko kuomba kura kwa wagombea wa CCM, huku wakihamasisha wananchi kudumisha amani na kuwapuuza wanaotaka kuibua chokochoko za kuichafua nchi.
ANGALIA PICHA
Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Hamza Yusuph Tandiko, akinadi Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030 katika mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba Maganzo. Picha na Kadama Malunde
Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Hamza Yusuph Tandiko, akinadi Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030 katika mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba Maganzo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Kishapu, Jenipher Juma Nangi akinadi Ilani ya CCM na kuwaombea kura wagombea wa CCM
Mkazi wa Maganzo akimpatia zawadi ya Samaki Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Hamza Yusuph Tandiko baada ya kufurahishwa na sera za CCM
Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Hamza Yusuph Tandiko akicheza muziki na wananchi
Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Hamza Yusuph Tandiko akicheza muziki na wananchi
Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Hamza Yusuph Tandiko akicheza muziki na wananchi
Mke wa Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Hamza Yusuph Tandiko akiomba kura kwa wagombea wa CCM akiwemo mmewe (kulia)

 

About the author

Alex Sonna