Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

ULINZI WA TAIFA LETU NI JUKUMU LA KILA MTANZANIA – DC UKEREWE

Written by Alex Sonna

 

Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Cde. Christopher Ngubiagai, amesisitiza kwamba ulinzi wa taifa ni jukumu la kila Mtanzania, huku akiwahimiza vijana kushiriki kikamilifu katika jeshi la akiba ili kuimarisha amani na utulivu ndani ya jamii.
 
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Cde, Christopher Ngubiagai ametoa kauli hiyo alipokuwa akifunga mafunzo ya jeshi la akiba yaliyojumuisha kata za Namilembe, Kakukuru na Ilangara ambapo askari 72 wamehitimu mafunzo hayo yaliyohitimishwa leo katika kijiji cha Nakamwa kata ya Namilembe wilayani Ukerewe.
“..Ulinzi wa taifa letu ni jukumu la kila mtanzania, kila kijana anatakiwa kushiriki katika ulinzi endapo nchi itakuwa matatani uwepo wa jeshi la akiba ni kwa ajili ya kuimarisha amani na utulivu ndani ya jamii..”,amesema.
 
Mhe. Ngubiagai amewataka wahitimu hao kuwa mabalozi wa nidhamu, maadili kwa lengo la kujenga taifa lenye mshikamano.
 
Mbali na kufunga mafunzo hayo, Cde. Ngubiagai amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika mikutano ya kampeni za wagombea na kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
 
Akisoma taarifa ya mafunzo hayo Kaimu mshauri wa jeshi la akiba Wilaya ya Ukerewe Nyamsha Mnene Dioniz amesema mafunzo yalianza rasmi tarehe 22/04/2025 yakiwa na idadi ya wanafunzi 58 na kufungwa rasmi leo tarehe 24/09/2025 yakiwa na jumla ya wanafunzi 72.
 
Ameongeza kuwa wanafunzi hao wamejifunza masomo mbalimbali ikiwemo utimamu wa mwili, usomaji wa  ramani, uhamiaji,kuzuia na kupambana na rushwa, ujanja porini, zimamoto, sheria za jeshi la akiba na mbinu za kivita ili wawe tayari kwa dharura zozote za kitaifa lakini pia kuongeza wananchi ambao wapo tayari kulinda amani ya taifa.
 
Paredi kamanda wa jeshi la akiba John Matondane Denis ni miongoni mwa wahitimu amewasihi vijana wenzake waliopo mitaani kujiunga na jeshi la akiba na waondoe fikra potofu kwamba kuingia mgambo ni kushindwa maisha kwani tayari yeye ana ujuzi ambao anaweza kutumia sehemu mbalimbali akihitajika.

 

 

 

About the author

Alex Sonna