marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

sekabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

milanobet

restbet

imajbet

perabet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

betcup

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

pokerklas giriş

kingroyal giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

celtabet

jojobet

Featured Kitaifa

TAMISEMI YAZINDUA MATOKEO YA TATHIMINI MABADILIKO TABIANCHI

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhandisi Enock Nyanda akizungumza na wajumbe wa kikao kazi cha kikao kazi cha wadau na washauri washauri walekezi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi wa UNCDF- LoCAL wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi (CRVA) Jijini Dodoma Septemba 24, 2025.

NaMwandishi Wetu- DODOMA

OFISI ya Rais- TAMISEMI imezindua matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi.

Taarifa ya matokeo ya tatmini hiyo imefanywa na Shirika la Mitaji ya Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCDF) kupitia Programu ya LoCAL kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya, Serikali ya Norway, Ubelgiji na Ireland.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa matokeo ya tathmini hiyo leo Septemba 24, 2025 Jijini Ddoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhandisi Emmanuel Nyanda amesema matokeo hayo yamewasilishwa katika ngazi ya halmashauri za Tanzania Bara na Zanzibar.

Mhandisi Nyanda amesema Matokeo ya tathmini  hii yatawawezesha watunga sera, viongozi wa halmashauri, na wananchi kupanga na kutekeleza hatua madhubuti za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

“Tunawashukuru UNCDF na, Umoja wa Ulaya,Norway, Ubelgiji, na Ireland, kwa kuunga mkono juhudi za serikali katika kutambua maeneo hatarishi na kuainisha mbinu za ustahimilivu“ amesema Mhandisi Nyanda.

Ameongeza kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za mabadiliko ya tabianchi, ikiwemo ongezeko la joto, ukame, mafuriko na hivyo kuhitaji uwekezaji wa haraka na wa kimkakati ili kujenga ustahimilivu wa jamii.

Kuhusu Mradi wa LOCAL, Mhandisi Nyanda amesema mradi huo ulioanza kutekelezwa mwaka 2017 katika Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa umeleta mafanikio makubwa katika afua za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi katika ngazi za msingi.

Ameeleza kufuatia mafanikio hayo, katika awamu ya pili ya utekelezaji wa mradi huo, UNCDF imepanga kupanua wigo wa utekelezaji kutoka Halmashuri tatu hadi kufikia  halmashauri nane nchini.

Amezitaja Halmashauri zitakazonufaika na awamu ya pili ya Mradi wa UNCDF-LoCAL kywa ni Mkinga (Tanga), Mtama (Lindi), Kigamboni (Dar es Salaam), Mafia (Pwani) na Mtwara (Mtwara).

Kwa upande wake, Mratibu wa Mradi wa UNCDF-Local Tanzania, Bi. Aine Mushi, amesema Ripoti hiyo inatoa maarifa ya kisayansi, na UNCDF kupitia program ya LoCAL itaendelea kujengea uwezo Halmashauri ili kujenga ustahimilivu wa jamii.

“Tutahakikisha kila shilingi inayotumika katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi inafika kwa jamii zilizo hatarini zaidi, na kulinda mustakabali wa taifa kijamii na kiuchumi” amesema Bi. Mushi.

Aidha amesema Shirika la UNCDF limeendelea kupata ushirikiano kutoka kwa Serikali hususani kutoka katika Halmashauri za Wilaya zinazotekeleza mradi huo ambao umeleta manufaa kwa jamii.

Naye Mwakilishi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Sanford Kway amelishukuru Shirika la UNCDF kwa kuendelea kushirikiana na serikali katika kutatua changamoto za mabadiliko ya tabianchi katika maeneo mbalimbali nchini.

Mradi wa LoCAL unaotekelezwa na Shirika la UNCDF linafanya kazi pamoja na serikali kupitia OR-TAMISEMI na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa ajili ya kujengea uwezo jamii kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Mmoja wa wajumbe wa kikao kazi cha wadau na washauri elekezi Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi wa UNCDF- LoCAL, Bi. Salvata Silayo kutoka Wizara ya Afya akichangia mada wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi (CRVA) Jijini Dodoma Septemba 24, 2025.


Mmoja wa wajumbe wa kikao kazi cha wadau na washauri elekezi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi wa UNCDF- LoCAL, Dkt. Elisei Lubuva  kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo akichangia mada wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi (CRVA) Jijini Dodoma Septemba 24, 2025.

Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhandisi Enock Nyanda akizungumza na wajumbe wa kikao kazi cha kikao kazi cha wadau na washauri washauri walekezi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi wa UNCDF- LoCAL wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi (CRVA) Jijini Dodoma Septemba 24, 2025.Baadhi ya wajumbe wa kikao kazi cha cha wadau na washauri elekezi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi wa UNCDF- LoCAL wakifuatilia majadiliano mbalimbali wakati wa kikao kazi cha mradi huo kilichofanyika Septemba 24, 2025 Jijini Dodoma ambacho kilipokea taarifa ya matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi (CRVA).Mratibu wa Mradi wa UNCDF-Local nchini Tanzania, Bi. Aine Mushi akizungumza na wajumbe wa kikao kazi cha wadau na washauri walekezi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi wa UNCDF- LoCAL kilichofanyika Septemba 24, 2025 Jijini Dodoma wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi (CRVA).



Baadhi ya wajumbe wa kikao kazi cha wadau na washauri elekezi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi wa UNCDF- LoCAL wakifuatilia majadiliano mbalimbali wakati wa kikao kazi cha mradi huo kilichofanyika Septemba 24, 2025 Jijini Dodoma ambacho kilipokea taarifa ya matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi (CRVA).



Afisa Misitu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Sanford Kway akizungumza wakati wa kikao kazi cha wadau na washauri walekezi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi wa UNCDF- LoCAL kilichofanyika Septemba 24, 2025 Jijini Dodoma ambacho kilipokea taarifa ya matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi (CRVA).

Baadhi ya Wajumbe wa kikao kazi cha wadau na washauri walekezi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi wa UNCDF- LoCAL wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya ufunguzi wa kikao hicho Septemba 24, 2025 Jijini Dodoma ambacho kilipokea wa taarifa ya matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi (CRVA).

Afisa Misitu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Sanford Kway akizungumza wakati wa kikao kazi cha wadau na washauri walekezi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi wa UNCDF- LoCAL kilichofanyika Septemba 24, 2025 Jijini Dodoma ambacho kilipokea taarifa ya matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi (CRVA).

Baadhi ya Wajumbe wa kikao kazi cha wadau na washauri walekezi wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi wa UNCDF- LoCAL wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya ufunguzi wa kikao hicho Septemba 24, 2025 Jijini Dodoma ambacho kilipokea wa taarifa ya matokeo ya tathmini ya Kitaifa ya Maeneo yenye Hatari na Uwezekano wa Kuathirika kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi (CRVA).

About the author

Alex Sonna