marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

setrabet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

türk ifşa

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

porno izle

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

royalbet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

Featured Kitaifa

WATAALAMU WA BAJETI WATAKIWA KUIMARISHA UWAJIBIKAJI

Written by Alex Sonna

 

KAMISHNA wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Meshack Anyingisye,akizungumza leo Agosti 18,2025 jijini Ddooma wakati wa  kikao kazi cha tathmini ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2024/25 na maandalizi ya bajeti ya mwaka 2025/26.

KAMISHNA wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Meshack Anyingisye,akizungumza leo Agosti 18,2025 jijini Ddooma wakati wa  kikao kazi cha tathmini ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2024/25 na maandalizi ya bajeti ya mwaka 2025/26.

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Usimamizi wa Bajeti Wizara ya Fedha, Bw. Fundi Makama,akizungumza  wakati wa  kikao kazi cha tathmini ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2024/25 na maandalizi ya bajeti ya mwaka 2025/26 kinachofanyika jijini Dodoma.

Afisa Usimamizi wa Fedha Mwandamizi, Idara ya Usimamizi wa Bajeti Wizara ya Fedha, Bi. Tunsume Mlawa,,akizungumza  wakati wa  kikao kazi cha tathmini ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2024/25 na maandalizi ya bajeti ya mwaka 2025/26 kinachofanyika jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Kamishna  wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Meshack Anyingisye (hayupo pichani)  wakati wa  kikao kazi cha tathmini ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2024/25 na maandalizi ya bajeti ya mwaka 2025/26 kinachofanyika jijini Dodoma.

KAMISHNA wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Meshack Anyingisye,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua   kikao kazi cha tathmini ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2024/25 na maandalizi ya bajeti ya mwaka 2025/26.

Na.Alex Sonna-DODOMA

KAMISHNA wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Meshack Anyingisye, ametoa wito kwa wataalamu wa bajeti  nchini kubadili mwelekeo wa utendaji wao katika usimamizi wa mipango na bajeti za serikali, akisisitiza kuwa wao ndio nguzo kuu ya mafanikio au changamoto katika utekelezaji wa bajeti.

Akizungumza leo Agosti 18,2025 jijini Ddooma wakati wa  kikao kazi cha tathmini ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2024/25 na maandalizi ya bajeti ya mwaka 2025/26, Kamishna Anyingisye ameeleza kuwa wataalamu hao wanapaswa kuwa dira na msingi imara katika kuhakikisha taasisi zao zinafuata mpango na miongozo iliyowekwa.

“Nyie ndiyo nguzo muhimu katika taasisi zenu. Wewe kama mtaalamu wa bajeti unayo nafasi kubwa ya kusaidia viongozi kusimamia utekelezaji wa mipango kwa mujibu wa malengo yaliyokubaliwa. Usikubali kuwa sehemu ya kuyumbisha mwelekeo,” amesema

Hata hivyo ameonya kuwa baadhi ya wataalamu wameanza kujihusisha zaidi na siasa badala ya kushikilia taaluma yao, jambo ambalo linaathiri utekelezaji wa bajeti na kusababisha miradi mingi kukwama au kutokamilika kwa viwango vinavyotarajiwa.

“Uzoefu unaonyesha kuwa sisi wataalamu tumeanza kutamani nafasi za wanasiasa. Lakini changamoto nyingi tunazokumbana nazo zinatokana na sisi kukosa ujasiri wa kushauri kwa mujibu wa mipango tuliyojiwekea. Tumeanza miradi mipya wakati mingine iliyopo haijafikia hata asilimia 50 ya utekelezaji,” amesisitiza

Kamishna Anyingisye ameweka bayana kuwa hali hiyo inasababisha serikali kuingia kwenye migogoro na wakandarasi kutokana na kuchelewesha malipo ya miradi ambayo haikupangwa ipasavyo kwenye bajeti.

“Matokeo yake serikali inajikuta inalipa fedha nyingi kupitia kesi zilizofunguliwa na wakandarasi, pesa ambazo hazina tija wala ufanisi unaotarajiwa,” ameongeza

Amesisitiza kuwa kikao hicho ni cha kitaalamu, hivyo ni lazima kila mmoja atafakari kwa kina maana ya utekelezaji wa bajeti na matarajio yake, huku akisisitiza umuhimu wa kutumia mafunzo hayo kama nyenzo ya kuimarisha usimamizi wa bajeti katika taasisi zao.

Kwa upande wake Kamishna Msaidizi wa Idara ya Usimamizi wa Bajeti Wizara ya Fedha, Bw. Fundi Makama, amesema kuwa kikao hicho ni sehemu muhimu ya mchakato wa uandaaji wa bajeti ya serikali kwa mwaka ujao wa fedha, pamoja na kufanya tathmini ya utekelezaji wa bajeti iliyomalizika mwezi Juni mwaka huu.

Aidha Bw. Makama ameeleza kuwa kikao hicho kimewaleta pamoja wadau kutoka mikoa yote ,Wizara mbalimbali za serikali, na Taasisi nyingine muhimu, kwa lengo la kujadili mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa bajeti ya mwaka uliopita.

“Kupitia kikao hiki, tunapata nafasi ya kujifunza kutoka kwenye changamoto zilizojitokeza, lakini pia kubaini fursa mpya ambazo bajeti iliyopita imezalisha kwa maendeleo ya taifa,” amesema Bw. Makama.

Bw. Makama ameaongeza kuwa kikao hicho ni hatua ya awali katika mchakato wa uandaaji wa muongozo wa bajeti, ambao baadaye utafuatiwa na hatua ya maandalizi ya mpango na bajeti kamili ya mwaka mpya wa fedha. Hii ni sehemu muhimu ya kuhakikisha kuwa serikali inapanga kwa ufanisi matumizi ya rasilimali zilizopo ili kufanikisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Katika sehemu ya kwanza ya kikao hicho, washiriki watapewa mafunzo kuhusu matumizi sahihi ya mfumo ulioboreshwa wa uandaaji na usimamizi wa bajeti, ambapo Makama amesisitiza umuhimu wa wataalamu kutumia mfumo huo kikamilifu.

Naye Katibu Tawala Msaidizi   Mipango na Uratibu Mkoa wa Geita,Deodatus Kayango, amesema kuwa mchakato wa upangaji wa bajeti ya serikali huanzia katika ngazi ya chini ya utawala, yaani serikali za mitaa, kabla ya kupanda hadi ngazi ya halmashauri, mkoa, na hatimaye kufikia serikali kuu.

Bw. Kayango ameeleza kuwa hivi sasa serikali inatumia mifumo ya kidijitali kurahisisha mchakato wa kupanga bajeti, tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma ambapo kulikuwepo na changamoto kubwa za ucheleweshaji na ukosefu wa uwiano wa mipango.

“Tunaanzia ngazi ya chini kwa sababu ndiko zinakotoka mahitaji halisi ya wananchi. Serikali imeweka mfumo madhubuti wa kuhakikisha kila hatua katika upangaji wa bajeti inazingatia vipaumbele vya wananchi,” amesema Kayango.

About the author

Alex Sonna