marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

setrabet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

türk ifşa

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

porno izle

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

royalbet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

herabet

casibom

Featured Kitaifa

WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA WAASWA KUEPUKA MATAPELI

Written by Alex Sonna

Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bi. Mary Mihigo, akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha, kuhusu usimamizi wa fedha binafsi na taratibu za mikopo, kwenye Maonesho ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma, yenye kauli mbiu “Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo na Uvuvi 2025. Kulia ni Mchumi Mwandamizi Wizara ya Fedha, Bw. Erick Mang’era.

Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.

Wizara ya Fedha imeawaasa wastaafu wanaolipwa mafao na Hazina kujiepusha na jumbe kwa njia ya simu zinazotumwa na watu wasiojulikana zikiwaelekeza kutuma fedha ili kuhakikiwa kwani wanaweza kutapeliwa fedha zao na matapeli hao.

Akizungumza wakati akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma, Afisa Hesabu Mkuu, Kitengo cha Pensheni Wizara ya Fedha Bi. Joyce Chacky, alisema kuwa hakuna zoezi la uhakiki wa wastaafu linalofanywa na Hazina pia hakuna zoezi la uboreshwaji wa pensheni kwa mstaafu mmoja mmoja.

‘‘Siku za karibuni Wizara imekuwa ikipokea malalamiko kadhaa kutoka kwa wastaafu kuombwa fedha kupitia mitandao ya simu ili wafanyiwe uhakiki na kurekebishiwa viwango vya pensheni, hizo taarifa sio sahihi hakuna gharama zozote anazotozwa mstaafu anayehudumiwa na Hazina,’’alisema Bi. Chacky.

Alifafanua kuwa Wizara ya Fedha inalipa mafao ya kustaafu na mirathi kwa watumishi waliostaafu wakiwa katika ajira yenye masharti ya kudumu na malipo ya uzeeni kwa waliokuwa hawachangii kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ambao walistaafu kabla ya tarehe 30 Juni, 2004.

Bi. Chacky alisema, hakuna gharama zozote zinazohitajika Wizara ya Fedha kwa ajili ya kushughulikia mafao ya uzeeni na hivyo kusisitiza wasataafu kupuuza jumbe hizo kwa njia ya simu ya mkononi kwani watu hao ni matapeli.

‘‘Tunasisitiza kwa mstaafu anayepokea mafao kutoka kwetu kutoa taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye pale anapoombwa fedha kwa ajili ya kupata huduma yoyote katika ofisi zetu,’’alisisitiza Bi. Chacky.

Alitoa rai kwa mteja yeyote mwenye maswali, maoni na madai kufika Ofisi ya Hazina Ndogo iliyopo Mkoani kwake na Wizara ya Fedha, Zanzibar au kupiga simu ya huduma kwa mteja namba 0262160000.

Wizara ya Fedha pamoja na Taasisi zilizo chini yake inashiriki katika Maonesho ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Jijini Dodoma, yenye kauli mbiu “Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo na Uvuvi 2025’’.

Afisa Hesabu Mkuu, Kitengo cha Pensheni Wizara ya Fedha, Bi. Joyce Chacky, akifafanua kuhusu pensheni inayolipwa kwa was taafu wanaohudumiwa na Hazina kwa Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika Mara (WAMAKU LTD), Bw. Momangi Range (kulia) na Makamu Mwenyekiti Chama Kikuu cha Ushirika Mara Bw. Emanuel Ndege, walipotembelea Banda la Wizara ya Fedha, kwenye Maonesho ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma, yenye kauli mbiu “Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo na Uvuvi 2025. 

Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bi. Mary Mihigo, akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha, kuhusu usimamizi wa fedha binafsi na taratibu za mikopo, kwenye Maonesho ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma, yenye kauli mbiu “Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo na Uvuvi 2025. Kulia ni Mchumi Mwandamizi Wizara ya Fedha, Bw. Erick Mang’era.

Mchumi kutoka Wizara ya Fedha, Bw. Samweli Mkwama, akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha, kuhusu mchakato wa maandalizi ya bajeti ya Serikali, kwenye Maonesho ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma, yenye kauli mbiu “Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo na Uvuvi 2025. 

Afisa Tehama Mwandamizi Wizara ya Fedha, Bw. Charles Maganga, akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha, kuhusu mifumo ya fedha, kwenye Maonesho ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma, yenye kauli mbiu “Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo na Uvuvi 2025. Kushoto ni Afisa Tehama Mwandamizi Wizara ya Fedha, Bi. Zaina Mwanga.

Mwandishi Mwendesha Ofisi Wizara ya Fedha, Bi. Masia Msuya, akitoa maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na Wizara ya Fedha pamoja na taasisi zilizoshini ya Wizara, kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha, kwenye Maonesho ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma, yenye kauli mbiu “Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo na Uvuvi 2025. 

(Picha na Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma.)

About the author

Alex Sonna