Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

meritking

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

grandpashabet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

MAJALIWA AZINDUA MITAMBO YA BILIONI 12.4 KWA AJILI YA WACHIMBAJI WADOGO.

Written by Alex Sonna

*Ni kwa ajili ya uchorongaji na utafiti wa madini.

*Asema ni mwendelezo wa juhudi za Rais Dkt. Samia kuboresha shughuli za wachimbaji wadogo.

*Atoa wito kwa wachimbaji kuuza madini ndani ya nchi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua mitambo kumi ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini yenye thamani wa shilingi bilioni 12.41 kwa ajili ya wachimbaji wadogo ambayo itapunguza changamoto za wachimbaji wadogo ya kufanya uchimbaji bila kuwa na taarifa za kijiolojia.

Akizungumza baada ya uzinduzi huo uliofanyika leo Jumanne (Juni 24, 2025) kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa hatua hiyo ni mwendelezo wa juhudi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuboresha shughuli za wachimbaji wadogo wa madini na kuwawezesha kuongeza uzalishaji.

“Oktoba 2023 Rais Dkt. Samia, alizindua mitambo mitano ya uchorongaji kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Kutokana na wingi wa wachimbaji wadogo nchini na mwitikio chanya wa wachimbaji wadogo alielekeza Wizara ya Madini kuongeza mitambo mingine”

“Mitambo hiyo mitano imeshatoa huduma ya uchorongaji kwa wachimbaji 16 katika maeneo mbalimbali nchini na kuchoronga jumla ya mita 3,450.37”

Kadhalika Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa kuongezeka kwa mitambo ya uchorongaji maalumu kwa wachimbaji wadogo kutaleta mageuzi na manufaa makubwa katika sekta madini. “Moja ya faida kubwa za mitambo hiyo, ni pamoja na kuongeza chachu ya ukuaji wa shughuli za wachimbaji wadogo nchini kwa kuwa itawawezesha upatikanaji wa taarifa za uhakika za jiolojia”

Katika hatua nyingine, Mheshimiwa Majaliwa ametoa wito kwa wachimbaji wadogo kuendelea kuuza madini katika viwanda vya ndani vya kusafisha dhahabu ili kuendelea kuchochea ukuaji wa uchumi nchini. “Na wale ambao wanashughulika na usafishaji wa madini, nendeni mkauze kwenye masoko yetu 43 yaliyopo na vile vituo 109, hakikisheni mzunguko wa madini unaanza kunufaisha Taifa letu badala ya kutorosha madini, kama kweli wewe ni mzalendo wa Taifa hili, popote utakapozalisha madini nenda kwenye masoko ya ndani ya nchi.”

Kwa upande wake Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema kuwa katika mwaka huu wa fedha unaoishia, Sekta ya Madini imefanikiwa kuchangia katika mfuko mkuu wa Serikali kiasi cha shilingi trilioni 1.01. “Pamoja na maboresho haya, kwasasa katika benki Kuu ya Tanzania inahifadhi ya tani 5.7 na kuifanya Tanzania kuwa ndani ya kumi bora ya nchi zenye hifadhi ya dhahabu Afrika”.

Aidha, ameongeza kuwa katika miaka miaka ya minne ya Rais Dkt. Samia madarakani, sekta ya madini imeshuhudiwa ikifanya mapinduzi makubwa ikiwemo kuongeza mchango wake katika pato la taifa ambapo mpaka sasa inachangia asilimia 10.1 kabla ya mwaka wa kimalengo kufika 

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO, Dk. Venance Mwase, amesema kuwa  mitambo hiyo 10 iliyozinduliwa ni kwa ajili ya uchorongaji na utafiti wa awali wa madini.

“Kati ya mitambo hii 10 miwili itakua maalum kwa ajili ya wachimbaji wadogo wanawake ili kuongeza hamasa kwa wanawake na vijana kuingia katika sekta hii ya uchimbaji wa madini na kunufaika na rasirimali hii,”amesema  Dk. Mwase

 

Awali, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia kwa uamuzi wake wa kuamua kuisimamia sekta ya madini ikiwemo kuwawezesha wachimbaji wadogo nchini.

“Madini ni sayansi na madini ni biashara, kwa maboresho haya, sasa watanzania wanachagamkia fursa katika sekta ya madini, wachimbaji sasa wanatosha kuchimba, wachimbaji wadogo tupo pamoja na Serikali yetu, hakika imetuheshimisha.”

About the author

Alex Sonna