marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

matbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

betoffice

marsbahis

perabet giriş

interbahis

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betparibu, betparibu giriş

zirvebet, zirvebet giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

meritking güncel giriş

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

Starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

pokerklas

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pokerklas

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

casibom

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

betper

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

deneme bonusu

Featured Kitaifa

KONGAMANO LA PILI LA SAYANSI YA AFYA UDOM LATAJWA KUWA MUHIMU KWA TAIFA

Written by Alex Sonna

 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Wilson Charles Mahera,akizungumza jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Pili la Sayansi ya Afya (UDOM Scientific Conference on Health – USCHe 2025), kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka,akizungumza jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Pili la Sayansi ya Afya (UDOM Scientific Conference on Health – USCHe 2025).

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Bw. Jabir Shekimweri,akizungumza jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Pili la Sayansi ya Afya (UDOM Scientific Conference on Health – USCHe 2025).

Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe,akichangia mada wakati wa Kongamano la Pili la Sayansi ya Afya (UDOM Scientific Conference on Health – USCHe 2025).

 

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Wilson Charles Mahera (hayupo pichani) wakati wa Kongamano la Pili la Sayansi ya Afya (UDOM Scientific Conference on Health – USCHe 2025).

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Wilson Charles Mahera,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya  Kongamano la Pili la Sayansi ya Afya (UDOM Scientific Conference on Health – USCHe 2025), kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.

Na.Meleka Kulwa-DODOMA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Wilson Charles Maher, amesema Serikali imenufaika kwa kiasi kikubwa na tafiti za kisayansi katika kutatua changamoto za sekta ya afya nchini.

Dkt.Mahera ameyasema hayo   jijini Dodoma, wakati wa Kongamano la Pili la Sayansi ya Afya (UDOM Scientific Conference on Health – USCHe 2025), kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko,amesema kuwa makongamano ya kisayansi ni jukwaa muhimu linalowezesha Serikali kupokea maoni na mapendekezo ya kitaalamu kutoka kwa watafiti na wanazuoni wa ndani ya nchi.

“Makongamano kama haya yanaiwezesha Serikali kuandaa sera na mikakati ya afya inayotegemea ushahidi wa kisayansi. Ni muhimu tafiti hizi zitumike ipasavyo kwa manufaa ya jamii yetu,” alisema Dkt. Mahera

Kongamano hilo limeandaliwa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Shule Kuu ya Tiba na Afya ya Kinywa (SoMD) na Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii (SoNPH), likiwa ni sehemu ya mikakati ya kukuza tafiti za afya na kuimarisha mchango wa taaluma katika maendeleo ya taifa.

Kwa upande wake Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, alisisitiza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta ya afya. Alisema UDOM ina wajibu wa kuhakikisha inazalisha wataalamu bora kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.

“Kongamano la kisayansi lina umuhimu mkubwa kwa taifa. Tafiti zetu zisitumike na mataifa mengine kutengeneza bidhaa na sisi tuje kununua. Ni lazima tuyatumie matokeo ya tafiti kujinufaisha sisi wenyewe,” alisema Prof. Kusiluka.

 

Aliongeza kuwa, sambamba na mapambano dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza, ni muhimu tafiti zijielekeze pia kwenye ajali za barabarani ambazo zimeendelea kuwa chanzo kikuu cha vifo katika nchi zinazoendelea.

Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe, alisema Wizara itaendelea kushirikiana na vyuo vikuu kuhakikisha tafiti zinazofanyika zinatumika moja kwa moja katika uundaji wa sera na miongozo ya afya.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Bw. Jabir Shekimweri, alisema Serikali ya Mkoa itaendelea kushiriki na kuunga mkono makongamano ya aina hiyo, akisisitiza kuwa ni muhimu yawe endelevu kwa ajili ya kutafuta suluhu ya changamoto mbalimbali za kiafya zinazoikabili jamii.

      

About the author

Alex Sonna