Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika na waislamu katika Sala na Baraza la Eid El Adhaa iliyofanyika Kitaifa kwenye Msikiti wa Mohammed VI, Kinondoni jijini Dar es Salaam Juni 7. 2025. ambapo alikuwa mgeni rasmi kwenye Sala na Baraza hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Bakwata na Serikali, wakati alipowasili katika Viwanja vya Msikiti wa Mohammed VI, Kinondoni jijini Dar es Salaam Juni 7. 2025, ambapo alikuwa mgeni rasmi kwenye Sala na Baraza la Eid El Adhaa Kitaifa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatilia mawaidha baada ya Sala na Baraza la Eid El Adhaa iliyofanyika Kitaifa kwenye Msikiti wa Mohammed VI, Kinondoni jijini Dar es Salaam Juni 7. 2025, ambapo alikuwa mgeni rasmi kwenye Sala na Baraza hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Ali Khamis Ngeruko, akizungumza baada ya Sala na Baraza la Eid El Adhaa lililofanyika Kitaifa kwenye Msikiti wa Mohammed VI, Kinondoni jijini Dar es Salaam Juni 7. 2025, ambapo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikua mgeni rasmi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia kwenye Sala na Baraza la Eid El Adhaa lililofanyika Kitaifa kwenye Msikiti wa Mohammed VI, Kinondoni jijini Dar es Salaam Juni 7. 2025. ambapo alikuwa mgeni rasmi kwenye Sala na Baraza hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Baraza Kuu la Ulamaa, Sheikh Hassan Chizenga, baada ya Sala na Baraza la Eid El Adhaa lililofanyika Kitaifa kwenye Msikiti wa Mohammed VI, Kinondoni jijini Dar es Salaam Juni 7. 2025. Katikati yao ni Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Ali Khamis Ngeruko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Morocco nchini, Mhe. Zakaria El Koumiri, baada ya Sala na Baraza la Eid El Adhaa lililofanyika Kitaifa kwenye Msikiti wa Mohammed VI, Kinondoni jijini Dar es Salaam Juni 7. 2025. ambapo alikuwa mgeni rasmi kwenye Sala na Baraza hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia waumini wa kiislamu, baada ya Sala na Baraza la Eid El Adhaa lililofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Msikiti wa Mohammed VI, Kinondoni jijini Dar es Salaam Juni 7. 2025. ambapo alikuwa mgeni rasmi kwenye Sala na Baraza hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)