marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

imajbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

interbahis

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

jojobet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

matbet

sekabet giriş

imajbet

pusulabet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA SH. BILIONI 185 KUTOKA CHINA

Written by Alex Sonna
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Che Mingjian, wakionesha wakitia saini Mikataba miwili ya msaada wa jumla ya Yuan za China milioni 500, sawa na shilingi bilioni 185 kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kuwa Kituo cha Umahiri cha magonjwa ya moyo pamoja na mradi wa ushirikiano wa kiuchumi na kitaalamu, hafla iliyofanyika jijini Dodoma.
Na. Josephine Majura, WF, Dodoma
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China zimetia Saini mikataba miwili ya msaada wa jumla ya Yuan za China milioni 500, sawa na shilingi bilioni 185 kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete pamoja na kusaidia program ya ushirikiano wa kiuchumi na kitaalamu. 
 
Mikataba hiyo imesainiwa Ofisi za Wizara ya Fedha (Treasury Square) na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian. 
 
Akizungumza baada ya kusainiwa kwa mikataba hiyo, Dkt. Nchemba, alisema kuwa Mkataba wa kwanza ni wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Kitaalam wenye thamani ya Yuan za China milioni 200 sawa na shilingi bilioni 74.2 na Mkataba wa pili kwa ajili ya mradi wa Upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kuwa Kituo cha Umahiri cha matibabu na upasuaji wa moyo Afrika Mashariki na Kati wenye thamani ya Yuan za China milioni 300, sawa na shilingi bilioni 111.2.
 
“Lengo la misaada hii ni kuwezesha utekelezaji wa miradi itakayochaguliwa na kukubalika kwa pamoja na Serikali za Tanzania na China, na mkataba wa pili una lengo la kujenga Kituo cha Umahiri cha Matibabu ya Magonjwa ya Moyo ya Watoto kwa ajili ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati”, alieleza Dkt. Nchemba. 
Dkt. Nchemba alisema kuwa, msaada wa Ushirikiano wa kiuchumi na Kitaalamu ni ahadi aliyoitoa Mhe. Xi Jinping, Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, wakati wa kikao chake na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Kilele la Ushirikiano wa China na Afrika la mwaka 2024, uliofanyika jijini Beijing.  
 
Alisema kuwa msaada wa ujenzi wa hospitali ya magonjwa ya moyo kwa watoto Mloganzila – unatarajiwa kuleta manufaa makubwa kama vile upatikanaji wa huduma bora za afya, kukuza uchumi kupitia kuongeza ajira na kuchochea biashara kwa wananchi ili kuboresha maisha yao, kukuza utafiti katika masuala ya afya na elimu na kuendeleza miundombinu.
 
Alisema kuwa misaada hiyo inadhihirisha kwamba Jamhuri ya Watu wa China inabaki kuwa rafiki wa kweli na wa kutumainiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuahidi kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo na kuendelea kudumisha urafiki wa muda mrefu kwa manufaa ya pande hizo mbili.
 
Aidha amemhakikishia Balozi huyo wa China utayari wa Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendelea kuimarisha ushirikiano na Serikali ya China. 
 
Kwa upande wa Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe.Chen Mingjian, alisema kuwa nchi yake itaendelea kushirikiana na Tanzania kutokana na ushirikiano wa kihistoria wa muda mrefu na pia imani ya Tanzania kwa nchi hiyo katika kukuza maendeleo ya wananchi.
 
Aidha alisema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi kinara yenye ushirikiano bora wa kiuchumi na kijamii na imeshirikiana na Tanzania katika nyanja mbalimbali za maendeleo ikiwemo ujenzi wa reli ya TAZARA, mradi ambao umekuwa wa kielelezo cha uhusiano huo.
 
Alisema kuwa msaada wa sekta ya afya kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ambao umelenga kunusuru maisha ya watoto wanaougua maradhi ya moyo, pia utakuza ajira na kuwa sehemu ya utalii wa kimatibabu watakaokuja nchini kutoka mataifa mengine.
 
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Dkt. Peter Kisenge, aliishukuru China kwa ufadhili huo utakao kuwa mkombozi mkubwa wa matibabu ya moyo kwa watoto kupitia ujenzi wa Kituo hicho cha Umahiri kitakachojengwa katika Hospitali ya Mloganzila.
 
Alisema kuwa changamoto ya kiafya kwa watoto inayosababishwa na maradhi ya moyo ni kubwa ambapo takwimu zinaonesha kuwa kati ya Watoto 200 wanaozaliwa, Watoto wawili wanazaliwa wakiwa na matatizo ya moyo na kwamba ujenzi wa Kituo hicho cha umahiri utaondoa changamoto ya matibabu.
 
Hafla hiyo ilihudhuriwa pia na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya na Naibu Katibu Mkuu  Wizara ya Afya, Mhe. Ismail Rumatila, ambaye aliahidi kuwa Serikali itasimamia utekelezaji wa mradi huo kama ilivyokusudiwa ili kuleta tija na kuboresha upatikanaji wa huduma na matibabu ya magonjwa ya moyo nchini.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Che Mingjian, wakitia saini Mikataba miwili ya msaada wa jumla ya Yuan za China milioni 500, sawa na shilingi bilioni 185 kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kuwa Kituo cha Umahiri cha magonjwa ya moyo pamoja na mradi wa ushirikiano wa kiuchumi na kitaalamu, hafla iliyofanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Che Mingjian, wakibadilishana wakitia saini Mikataba miwili ya msaada wa jumla ya Yuan za China milioni 500, sawa na shilingi bilioni 185 kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kuwa Kituo cha Umahiri cha magonjwa ya moyo pamoja na mradi wa ushirikiano wa kiuchumi na kitaalamu, hafla iliyofanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Che Mingjian, wakionesha wakitia saini Mikataba miwili ya msaada wa jumla ya Yuan za China milioni 500, sawa na shilingi bilioni 185 kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kuwa Kituo cha Umahiri cha magonjwa ya moyo pamoja na mradi wa ushirikiano wa kiuchumi na kitaalamu, hafla iliyofanyika jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)

About the author

Alex Sonna