Featured Kitaifa

POLENI SANA FAMILIA

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia na kuwapatia pole familia, ndugu na jamaa wa Hayati Mzee Cleopa David Msuya, mara baada ya kuweka mchanga na shada la maua kwenye kaburi wakati wa mazishi ya kitaifa ya Hayati Mzee Msuya, ambaye aliwahi kuwa Makamu wa Rais wa Kwanza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaliyoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yalifanyika nyumbani kwake, Kijiji cha Chomvu, Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Jumanne, tarehe 13 Mei 2025.

About the author

mzalendoeditor