Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

matbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betface

betface

Featured Kitaifa

INEC YAWATAKA WANANCHI KUTUMIA SIKU ZILIZOBAKI KUBORESHA TAARIFA ZAO

Written by Alex Sonna

 

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele (kulia) akikagua mwenenedo wa uboreshaji Daftari katika Halamashauri ya Songea Vijijini. 

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele (shati la drafti) akiwa katika kituo cha shule ya Msingi Mahela katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani Ruvuma wakati akitembelea vituo mbalimbali vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mkoa huo jana. Kulia walio simama ni Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Mbinga Mjini, Ndg. Amina Hamisi Seif. (Picha na INEC).

Wananchi wakiangalia Daftari la awali la wapiga kura lililowekwa wazi.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele (kulia) akiwa katika kituo cha shule ya Msingi Mahela katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani Ruvuma wakati akitembelea vituo mbalimbali vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mkoa huo jana. Wapili Kulia ni Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Nyasa, Ndg. Khalid Khalifa. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele (Kushoto) akimkabidhi kadi ya Mpiga Kura Ndg. Acheni Maulid mkazi wa Mbamba Bay katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasamkoani Ruvuma aliyefika katika kituo cha Shule ya msingi Mbamba bay kuboresha taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura. (Picha na INEC).

Mpiga Kura Ndg. Acheni Maulid mkazi wa Mbamba Bay katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma akionesha aliyefika katika kituo cha Shule ya msingi Mbamba bay kuboresha taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura. (Picha na INEC).

Na Mwandishi Wetu, Ruvuma
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, imewataka
wananchi wa mikoa 15 inayotekeleza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la
Wapiga Kura katika mzunguko wa kwanza wa awamu ya pili kuzitumia siku chache
zilizobaki katika mikoa yao kuhakikisha wanajitokeza kujiandikisha na kuhakiki
taarifa zao ili wasijekosa haki yao ya msingi ya kupiga Kura katika uchaguzi
ujao mwaka huu.
 
Hayo yamesema na Mwenyekiti wa Tume Huru ya
Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele wakati akitembelea
vituo mbalimbali vya uboreshaji wa Daftari hilo katika Katika halsmahauri za
Mkoa wa Ruvuma.
 
“Nawasihi wananchi wa mikoa 15 ambayo awamu
ya pili ya Uboreshaji Daftari inafanyika wandelee kujitokeza kuja kuboresha,
waendelee kujiandikisha lakini pia kuwaondoa wale ambao hawastahili kuwa katika
Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, tumebakiwa na siku chache zinazotakiwa
kuendelea na zoezi,” alisema Jaji Mwambegele.
 
Jaji Mwambegele amesema zoezi la uboreshaji
wa wa awamu ya pili linakwenda sambamba na uwekaji wazi wa Daftari la awali la
kudumu la wapiga Kura ambalo linatoa fursa kwa wananchi kukagua, kufanya
marekebisho ya taarifa za wapiga kura na uwekaji wa pingamizi dhidi ya wapiga
kura waliomo kwenye daftari ambao hawana sifa na litabandikwa katika vituo
vyote vilivyotumika wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
awamu ya kwanza.
 
Akizungumzia kuhusu mwenendo wa zoezi hilo
kwa ujumla Jaji Mwambegele amesema zoezi linakwenda vizuri na mwitikio wa
wananchi ni mzuri kwani maeneo aliyotembelea katika mikoa ya Iringa, Njombe na
Ruvuma wananchi wamejitokeza vituoni kujiandikisha, kuboresha taarifa zao pamoja
na kutoa taarifa za watu waliopoteza sifa za kuwepo kwenye Daftari hilo.
 
“Kwa ujumla wake zoezi linakwenda vizuri na
wananchi wengi wamejitokeza kwaajili ya kuboresha taarifa zao, wamejitokeza pia
kwaajili ya kuboresha taarifa zao na pia, wale ambao hawastahili kuwepo katika
Daftari la Kudumu la Wapiga kura wamefutwa,katika kila kituo nil;ichokwenda
wameniambia kuhusu wale walio waandikisha, waboresha na wale waliowafuta,”
alisema.
 
Uboreshaji wa Daftari unafanyika kwa
mizunguko mitatu ambapo mzunguko wa kwanza unajumuisha mikoa 15, mzunguko wa
pili utajumuisha mikoa 16 na mzunguko wa tatu utajumuisha vituo vya magereza na
vyuo vya mafunzo.
 
Mikoa inayohusika kwenye mzunguko wa kwanza
wa uboreshaji ni pamoja na Iringa, Geita, Kagera, Mara, Shinyanga, Mwanza,
Simiyu, Rukwa, Tabora, Katavi, Kigoma, Ruvuma, Mbeya, Njombe na Songwe ambapo
zoezi hilo lilianza kutekelezwa tangu Mei 1 na linataraji kukamilika Mei 7
mwaka huu.
 
Wakizungumza kwa nyakati tofauti Maafisa
Waandikishaji kutoka Majimbo ya Nyasa, Ndg. Khalid Khalifa na yule wa Jimbo la
Mbinga Mjini Ndg. Amina Hamisi Seif wamesema zoezi la Uboreshaji katika maeneo
yao linakwenda vizuri na kuwahimiza wananchi kuendelea kujitokeza.
 
“Kwa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
tumekwisha andikisha wapiga kura wapya 436 na kuboresha taarifa za wapiga kura
415 wakati wapiga kura 68 wamepoteza sifa na kufutwa katika Daftari la Kudumu,
bado tuzazo siku hivyo niombe kutumia fursa hii kuwataka wananchi waendelee
kujitokeza,” alisema Khalifa.
 
Katika awamu ya pili ya uboreshaji, wapiga
kura wapya 1,396,609 wataandikishwa, wapiga kura 1,092,383 wataboresha taarifa
zao na wapiga kura 148,624 watafutwa kwenye Daftari kwa kukosa sifa za
kuendelea kuwepo kwenye Daftari,” amesema Jaji Mwambegele.
 
Tume iliboresha Daftari la Kudumu la Wapiga
Kura awamu ya kwanza kuanzia tarehe 20 Julai, 2024 na kukamilisha tarehe 25
Machi, 2025.

About the author

Alex Sonna