Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

maxwin, maxwin giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

betper

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

lisanslı casino siteleri

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

maxwin

jojobet

marsbahis

ultrabet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

piabellacasino

jojobet

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin giriş

matbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

betkolik

goldenbahis

casibom

goldenbahis

casibom

kalebet

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas

betsat

betpark giriş

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI YATOA UPENDELEO KWA MAKUNDI MAALUM KATIKA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA.

Written by Alex Sonna

Serikali inatambua umuhimu wa kuwawezesha watu wenye mahitaji Maalum kushiriki katika shughuli za kiuchumi , hivyo kuna upendeleo maalum katika Ununuzi wa Umma kwa ajili yao.

Hayo yamesemwa leo tarehe 25 Aprili, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma Bw. Dennis Simba wakati akifungua mafunzo kwa watu wenye mahitaji maalum katika Ununuzi wa Umma.

Amesema mafunzo haya yamekusudia kuelimisha na kuhamasisha makundi maalum juu ya haki zao na fursa wanazoweza kuzitumia katika mchakato wa Ununuzi wa Umma hivyo tunataka kuona makundi haya yanapata fursa za kibiashara ili kuchangia ukuaji wa uchumi wa Nchi.

“mpaka sasa kuna jumla ya vikundi maalum 280 vilivyokamilisha usajili na uhuishaji wa taarifa zao katika Mfumo wa Ununuzi wa Umma (NeST) ambapo vikundi hivyo vimepata tuzo za mikataba zilizotolewa kwa makundi maalum ambazo jumla ni tuzo Mia Nne Arobaini zenye thamani ya Shilingi Bilioni 15 ambapo Vijana ni vikundi 163 sawa na 58% wanawake ni vikundi 96 sawa na 34% na wenye Mahitaji maalum (Walemavu) ni Vikundi 4 sawa na 2% na wazee Vikundi 17 sawa na 6% sasa kama unavyoona usajili ni mdogo na mahitaji ni kwamba kila kikundi kiwe na kati ya watu watono hadi 20 hivyo bado kunamuamko mdogo kwenye vikundi vya watu wenye mahitaji maalum na ndio maana PPRA tumeona kuna haja ya kukutana na viongozi wa TAB na TLB , Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu pamoja na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ili tuweze kuimarisha jambo hili. Alisema Mkurugenzi Mkuu PPRA

Aidha Bw. Simba amesema, Mamlaka ya Ununuzi wa Umma inajukukumu la kuhakikisha kuwa Mifumo ya Ununuzi inazingatia usawa, haki na uwazi na kutoa mafunzo kwa watu mbalimbali na kuanzisha programu za uhamasishaji na kushirikiana na wadau muhimu ili kuhakikisha kuwa makundi haya maalum yanaelewa haki zao katika michakato ya Ununuzi wa Umma.

“Nataka kusisitiza kwamba kila mmoja wetu anajukumu la kuhakikisha kuwa anafaidika na fursa zinazotolewa kwa Makundi Maalum katika sekta ya ununuzi wa umma, Mafunzo haya ni mwanzo mzuri wa safari ya kuelewa na kutumia haki hizi katika kuboresha mazingira ya biashara na kuongeza tija katika Uchumi wa nchi, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kujitolea na kujiunga na mafunzo haya na nimatumaini yangu kuwa mtachukua maarifa haya na kuyatumia katika shughuli zenu za kila siku” Alisistiza Mkurugenzi Dennis Simba

kwa upande wake Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasioona Tanzania Bw. Omary Itambu Amasi amewashukuru PPRA kwa kuwaletea mafunzo ambayo yatawasaidia katika kupata tenda mbalimbali ambazo wengine wasio na mahitaji maalum wanazipata.

” Hapo mwanzo tulishindwa kupata fursa za tenda kutokana na kukosa Elimu hii kwa hiyo leo PPRA mmekuja kutupa mkate au ufunguo ambao utafungua kila kitasa kwenye masuala ya ununuzi katika sekta za Umma hivyo niwapongeze sana lakini sana niwaombe huu sasa ni mzizi mliousimika na mzizi ukianza litakuja shina hatimae matawi maana yangu ni kwamba hiki kilichoanzishwa sasa ni jambo ambalo linahitajika katika maeneo yote 26 Tanzania Bara na niwaombe bajeti zenu zitukumbuke. Alisema Mwenyekiti

Uendeshaji wa mafunzo hayo ni mwendelezo wa Mamlaka wa utoaji mafunzo kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma na Mfumo wa NeST ili kuwajengea uwezo wadau wote wa sekta hii nyeti nchini.

About the author

Alex Sonna