marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

ibizabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

NYANZA WAANZISHA MKAKATI WA KUINUA ZAO LA KAHAWA BUCHOSA

Written by Alex Sonna
Mwenyekiti wa Nyanza Bw. Leonard Lyabalima
Meneja wa Nyanza Kanda ya Buchosa Bw. Kalunga Ibrahimu akitoa ufafanuzi kwa mzalishaji Miche ya Kahawa
Mkulima Selemani Ndaki akielezea changamoto anazokutana nazo katika kilimo cha kahawa
 
Na Tonny Alphonce – Mwanza
 
Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza kimeanza rasimi kuwekeza nguvu katika zao la Kahawa kwa lengo la kuongeza uzalishaji na kuwainua wakulima wa Halmashauri ya Buchosa Mkoani Mwanza.
 
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika cha Nyanza Bw. Leonard Lyabauma amesema Nyanza itashirikiana na serikali katika kutatua changamoto walizonazo wakulima wa Kahawa kwa kutafuta ufumbuzi wa upatikanaji wa mbegu,madawa pamoja na masoko.
 
Akizungumzia sababu za chama cha Nyanza kuingia kwenye zao la Kahawa ,Lyabalima amesema ni kutokana na kushuka kwa uzalishaji wa Pamba katika wilaya ya Buchosa na baadhi ya wakulima na wanachama wa Nyanza kuanza kulima Kahawa.
 
“Lengo letu sasa Nyanza tunajipanga kukutana na wakulima na wanachama wetu wote wanaolima zao hili la Kahawa ili tuweze kuwasaidia waweze kuongeza uzalishaji lakini pia kupata uhakika wa mbegu madawa pamoja na kuwatafutia soko la uhakika”,amesema Lyabalima.
 
Meneja wa Kanda ya Buchosa Bw. Kalunga Ibrahimu amesema maamuzi ya chama kikuu cha Ushirika Nyanza kuingia katika zao la Kahawa yamepokelewa vizuri na wakulima wakiwa na matumaini makubwa ya kukufuka kwa zao hilo ambalo lilikosa usimamizi.
 
Naye Afisa kilimo wa halmashauri ya wilaya ya Buchosa Nestory Mjojo amesema programu hii ya kuwahamasisha wakulima wa Kahawa kuongeza uzalishaji wa zao hilo utasaidia kuwashawishi wakulima wengi kurudi kuwekeza tena kwenye zao hilo.
 
Akizungumzia kuhusiana na changamoto wanazokutananazo wakulima hao wa Kahawa Mojojo amesema kitu chakwanza watakachofanya ni kuwatambua wakulima hao na kisha kuhakikisha wote wanaingia katika ushirika ambao tayari upo ili iwe rahisi kwao kupewa huduma.
 
“Kwa sasa katika wilaya yetu ya Buchosa tunazalisha tani 30 lakini tunauhakika tukienda pamoja tunaweza kuzalisha hadi tani 50 na kuendelea ambapo lengo ni kufikia tani 200 ili kwamba tuwe na minada ambayo itakuwa inafanyikia hapa hapa Buchosa na kuachana na walanguzi ambao wanawanyonya wakulima”,amesema Mjojo.
 
Mkulima Jonathan Misogi wa kijiji cha Lumea anasema changamoto kubwa waliyonayo katika zao hilo la Kahawa na upatikanaji wa Miche pamoja na soko la uhakika.
 
Misogi amesema mwanzoni TAKRI na Halmashauri waliwasaidia kupata Miche lakini baadae walijitoa na hapo ndipo tatizo la upatikanaji wa Miche ya kahawa ulipoanzia.
 
Kwa upande wake Seleman Ndaki mkulima wa Kahawa anasema changamoto anayokutananayo ni mbolea pamoja na wadudu wanaoshambulia miti ya Kahawa ambapo hadi sasa hajajua dawa ambayo inaweza kupambana na wadudu hao.
 
Kwa juhudi zinazoendelea kuwekwa na Chama Kikuu Cha Ushirika Nyanza pamoja na ushirikiano wa Serikali na Wakulima ,matumaini ya kufufua na kuendeleza zao la Kahawa katika wilaya ya Buchosa yanaonekana kuimarika.

About the author

Alex Sonna