Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

1xbet

maxwin, maxwin giriş

smartbahis

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

telegram ifşa

smartbahis

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Pusulabet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat giriş

jojobet

tambet

ultrabet

ultrabet

piabellacasino

setrabet

pulibet

perabet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Pusulabet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

WIZARA YA FEDHA IMEFANYA KIKAO KAZI CHA MAPITIO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA NGAZI YA SEKTA

Written by Alex Sonna
Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda akifuatilia kikao kazi cha mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma ngazi ya Sekta (Public Expenditure Review -PER) katika Sekta mbalimbali zinazoshirikiana katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage jijini Dodoma.
Na. Josephine Majura na Chedaiwe Msuya, WF, Dodoma
 
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imefanya kikao kazi cha mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma ngazi ya Sekta (Public Expenditure Review -PER) katika Sekta mbalimbali zinazoshirikiana katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali ikiwemo Sekta ya Kilimo, Maji, Elimu, na Afya ili kuongeza tija, uwazi, na uwajibikaji katika Matumizi ya Fedha za Umma.
 
Akifungua kikao kazi hicho, Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda, amesema kuwa Serikali ina wajibu wa kufanya Mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma (PER) kila mwaka wa fedha kwa mujibu wa Sheria ya Bajeti ya Mwaka 2015.
 
Alifafanua kuwa lengo la kikao kazi hicho ni kuhakikisha fedha za umma zinatumika kwa ufanisi, kutambua changamoto na fursa zilizopo katika utekelezaji wa bajeti, kuimarisha ushirikiano wa kisekta katika mipango ya Serikali na kutoa mapendekezo yatakayosaidia kusimamia na kutekeleza Mpango na Bajeti kwa ufanisi zaidi.
 
“Mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma si zoezi geni, kwani hadi mwaka 2016 yalifanyika kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo ikiwemo Benki ya Dunia, Shirika la Maendeleo la Watoto na Mashirika yasiyo ya kiserikali, alisema Bw. Mwenda.
 
Aliongeza kuwa Serikali inaendelea kuthamini mchango wa wadau mbalimbali na itaendelea kuwashirikisha katika midahalo na tafiti za kitaalam kwenye ngazi zote ili kubaini vyanzo vipya vya mapato, kusimamia matumizi ya fedha za umma, na kukuza uchumi kwa ujumla.
 
Aidha, Bw. Mwenda alisema kuwa ili kuhakikisha zoezi hilo linakuwa na tija zaidi na endelevu, Serikali imeamua kulisimamia zoezi hilo pasipo kutegemea moja kwa moja wadau wengine, ili kuwezesha kusimamia kikamilifu michakato yote ya mapato na matumizi ya fedha za umma.
 
Kikao kazi hicho kimewashirikisha wataalamu kutoka serikalini na wadau mbalimbali ikiwemo, Hakielimu, Chama cha Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania, Jukwaa la Sera na Taasisi ya kupunguza Umasikini.
Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda akifuatilia kikao kazi cha mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma ngazi ya Sekta (Public Expenditure Review -PER) katika Sekta mbalimbali zinazoshirikiana katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda, (kushoto), Kamishna Msaidizi wa Idara ya Usimamizi wa Bajeti, Wizara ya Fedha Raymond Khohelera (kulia) wakifuatilia kikao kazi cha mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma ngazi ya Sekta (Public Expenditure Review -PER) katika Sekta mbalimbali zinazoshirikiana katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage jijini Dodoma.
Viongozi kutoka Wizara ya Fedha wakifuatilia kikao kazi cha mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma ngazi ya Sekta (Public Expenditure Review -PER) katika Sekta mbalimbali zinazoshirikiana katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage jijini Dodoma.
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Usimamizi wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Fundi Makama, akifuatilia kikao kazi cha mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma ngazi ya Sekta (Public Expenditure Review -PER) katika Sekta mbalimbali zinazoshirikiana katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage jijini Dodoma.
Maafisa kutoka Wizara ya Fedha wakifuatilia kikao kazi cha mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma ngazi ya Sekta (Public Expenditure Review -PER) katika Sekta mbalimbali zinazoshirikiana katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage jijini Dodoma.
Washiriki wa kikao kazi kutoka Taasisi mbalimbali wakifuatilia mawasilisho mbalimbali ya mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma ngazi ya Sekta (Public Expenditure Review -PER) katika Sekta mbalimbali zinazoshirikiana katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki kutoka Taasisi mbalimbali wakifuatilia mada mbalimbali kwenye kikao kazi cha mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma ngazi ya Sekta (Public Expenditure Review -PER) katika Sekta mbalimbali zinazoshirikiana katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage jijini Dodoma.
Watoa mada kutoka Taasisi mbalimbali wakiendesha mijadala na kutoa uwasilishaji kwenye kikao kazi cha mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma ngazi ya Sekta (Public Expenditure Review -PER) katika Sekta mbalimbali zinazoshirikiana katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage jijini Dodoma.
Mkuu wa Idara ya Utafiti, Ubunifu na Uchambuzi wa Sera, HakiElimu, Bw. Makumba Mwemezi, akitoa mada kwenye kikao kazi cha mapitio ya Matumizi ya Fedha za Umma ngazi ya Sekta (Public Expenditure Review -PER) katika Sekta mbalimbali zinazoshirikiana katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WF, Dodoma)

About the author

Alex Sonna